MUACHE MUNGU AITWE MUNGU-HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MAKUBWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MUACHE MUNGU AITWE MUNGU
WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUKUTWA NA MAKUBWA
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute"

Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.

Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari".

Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa.

Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.

TUKESHE TUKIOMBA KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

43 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani we wacha kabisa. Mungu ni mkuu mno. Maneno matakatifu yanasema akili zake hazichunguziki. Wito wangu tuzishike amri zake ili siku ya kiama tunusurike na adhabu ya milele. Amina.

    ReplyDelete
  2. Chezea Mungu wewe. Kaliumba hili lidunia na vyote vilivyomo pamoja na wewe halafu unamdhihaki. Moto utakuwakia.

    ReplyDelete
  3. Mwenyezi 'MUNGU' Yupo

    ReplyDelete
  4. MUNGU NI MWEMA!

    ReplyDelete
  5. Mungu ni mkuu kila wakat......t correction kidogo iyo ya sigara umetafsir vbaya....alivuta sigara thn akapuliza moshi juu ndio akasema Mungu huu ni wa kwako...

    ReplyDelete
  6. Mungu yupo jamani tu amini hvyo na wote tutaokoka Amen

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. Mungu ni mwema na siku zote huwa hazihakiwi fadhili zake ni za milele

    ReplyDelete
  9. Mungu hanywi uji kwa wanaotumia jina lake vbaya kila pande. Ila wote halo walistahili adhabu kali kwa haki.

    ReplyDelete
  10. Naomba nlkusahihishe namba 1,kundi linaitwa the beatles,walisema wao ni maarufu kupita yesu kristu mashabiki wao walikasirika wakavunja rekodi zao na wengine waliacha kununua nyimbo zao,john lennon alifarika miaka ya 80 na sio mwaka ulioandikwa hapo..

    ReplyDelete
  11. mungu anapenda sifa,nahisi lakini!na kama apendi sifa basi leo awasiliane na mimi na anipe mapenzi aliyopanga kunipa,tulale usiku na mchana,kupika na kupakua,bila swali wala kushangaa!

    ReplyDelete
  12. MUNGU NI MKUU

    ReplyDelete
  13. Allah is Great

    ReplyDelete
  14. Ww nana junior ni freemason?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio unataka?wellcome,full bata.

      Delete
    2. pamoja na yote utakufa tu ndo utakapojua mungu yupo au vipi

      Delete
  15. Bwana, Yesu. atabaki kuwa mkubwa, ata kama wanaadamu wapinge?

    ReplyDelete
  16. Chunga sana ulimi wako unapo mzungumzia mungu

    ReplyDelete
  17. Jambo lililonishangaza ni jinsi wachangiaji walivyochangia kwa nidhamu tofauti na mada zingine, matuuuuuusi debe utadhani si watanzania. Wenye tabia ya matusi mfululizo hata yasipo sababu mgeyapanga na hapo sasa. Tubadilike wapendwa na ndg. Nchi ni yetu, tuna baba zetu, mama, babu, bibi nk. Tafadhalini sana.

    ReplyDelete
  18. KUMA MAE ZENU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio mzima wewe

      Delete
    2. mungu akurehemu na adhihirishe uwepo wake leo hii na utoe ushuhuda huu wiki hii

      Delete
  19. Daima mungu ni mwema na husamehe

    ReplyDelete
  20. yaani toka niaanze kusoma hii blog hakuna kitu kizuri nilicho wahi kusoma na kukipenda kama hii...!! mwache Mungu aitwe Mungu

    ReplyDelete
  21. ila huu sio udaku hii kweli mungu atabaki kuwa Mungu

    ReplyDelete
  22. Amen mungu muweza wa yote yu mwema

    ReplyDelete
  23. Hhahhhahhahhah ....jina la bwana lihimidiwe.

    ReplyDelete
  24. My God is Good!!! Thank you Papa I love you!!! Kama Si wewe ningekuwa wapi!!! I love you daddy!!!!!

    ReplyDelete
  25. Hapo nani anayezungumziwa Mungu muumba wa mbingu na nchi na vilivyomo ambaye hajazaa wala hajazaliwa na wala hana mfano wake au Yesu ambaye ni mtume wake na ni mjumbe wa M'mungu maana mnanichanganya tu naomba mnifafanulie na mimi nichangie samahani kwa usumbufu

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndo huyo huyo muumba mbingu na ardhi lkn kuna watu wanajitoa fahamu utafikiri wamejiumba wenyewe

      Delete
  26. God is great

    ReplyDelete
  27. mziki wa mungu ni noumeeaaaaaaaaa.
    mambo ya mungu si ya kuropoka kama mlevi. nidhamu daima bila kuangalia unaamini au huamini.

    ReplyDelete
  28. Mwenyezi Mungu tuongoe waja wako Yaaillah, tujaalie tutende yale yanayo kupendeza wewe na pia twaomba nusura yako utuepushe kutenda yale yanayokuchukiza.

    Asante Mungu kwa neema zako unazo tuneemesha, asante Mungu kwa kuwa wewe ndo kila kitu kwetu, Asante Mungu kwa kuwa bila wewe sisi sio kitu kabisa. Utujaalie Mola wetu tuwe miongoni mwa waja wako wema watakao kuwa chini ya kivuli chako siku ambayo hakutakuwa na kivuli ila kivuli chako Muumba wetu. Tunakuomba utusamehe makosa yetu na utufutie madhambi yetu kwani wewe ni mwingi wa kusamehe na kurehemu - Amina

    ReplyDelete
  29. Mungu ni mfalme wa wafalme

    ReplyDelete
  30. Hii safi sanaaaa, keep it up, asante kwa kututafutia Habari hizo mpaka nasi wengine wa juzi juzi tumeweza kujua.Ila ushauri Wangu Mimi nisiye msomi.Ubadilishe heading, badala ya udaku, udaku ninavyoelewa Mimi ni kama kitu cha uongo uongo, porojo Habari zisizo za kweli, uzushi, Kuzua tu. Wakati Habari zinaonekana ni fact.USHAURI TU UNAWE ZA UKACHUKUA AU LA

    ReplyDelete

Top Post Ad