MWANAFUNZI WA MZUMBE AJINYONGA HADI KUFA BAADA YA KUFELI MTIHANI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usiku huu nimepokea taarifa za kusikitisha toka Mzumbe kutokana na kifo cha mwanafunzi aliyejinyonga baada ya kufeli.... 

Inasemakana kuwa Mwanafunzi huyo aliyekuwa anasoma Uchumi kwa ngazi ya Masters katika chuo hicho amejinyonga mpaka kufa baada ya matokeo kutoka jana na kuonyesha amefeli.

Taarifa toka eneo la tukio zimesema kwa sasa shughuli za mazishi zinaendelea nyumbani kwao Njombe

.................RIP.......................

By Jennifer Livigha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lakini wahehe ndio zao kujinyonga

    ReplyDelete
  2. Fanya utafiti kabla ya kutoa mada,Kanywa sumu na sio kajinyonga

    ReplyDelete
  3. huyo mshenz 2 utajinyongaje wakat tayar una first degree pumbav kabsa

    ReplyDelete
  4. Wahehe hawatoki

    ReplyDelete
  5. Maisha magumu nyie acha tu ajiue

    ReplyDelete
  6. Mpumbavu wew wahehe wamekukosea nin? Nyooooooo fyuuuuuuu

    ReplyDelete
  7. Kunywa sumu na kujinyonga sio suluhisho.

    ReplyDelete
  8. hasara ya nchi hiyo nani atalipa hela za bodi

    ReplyDelete
  9. hajatatua tatizo bali kaongeza polen ndugu wa marehemu

    ReplyDelete
  10. Aliambiwa akipata masters yake ya uchumi shida zote kwisha sasa afanyeje wajamani?

    ReplyDelete
  11. Mfinyu wa mawazo mimi nimedisco udom nimejipanga upya na maisha yangu yapo poa ukipata matatizo usipende kujiweka peke yako jaribu kutafuta ushauri kwa watu waaminifu japo wapo watakao kucheka

    ReplyDelete

Top Post Ad