MWANAMUZIKI H-BABA AKUTWA KITAA AMEMBEBA MTOTO WAKE MGOGONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanamuzi Maarufu wa Bongo Flava H-Baba Hivi Karibuni amekutwa amembeba mtoto wake mgogoni kwa kutumia mbeleko kama wabebavyo wamama huku akiwa hana habari na mtu alipoulizwa alisema yeye anapenda kumsaidia mke wake (Flora Mvungi ) Kulea mtoto kwani ni Jukumu lao wote wawili........Any COMMENT?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. woooow what a gentleman

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwanaume wa ukweli. Keep it up, for ur child sake usiwasikilize haters

      Delete
    2. Good for him
      .

      Delete
  2. sioni la ajabu.. yupo kwake ndani getini.. any guy can do that, atoke nae nje , kitaani kweli

    ReplyDelete
  3. It's good to help ur wife

    ReplyDelete
  4. Congrats blo,nivizuri kumsaidiya mkeo kwa majukumu ya malezi,wajinga watasema limbwata kumbe sio.

    ReplyDelete
  5. uyu h kuna mtu anamlenga sio bure haya baba ujumbe umefika inaonekana ulikuwa unampenda sana irine sasa unajutia haraka zako pole.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nae hovyooooo ampende irine kazaliwa nae c angemuoa umetumwa nin jiangalie. wew

      Delete
  6. Wivu Tu Mnaona

    ReplyDelete
  7. mwisho wake...................................................kwani tatizo nini lakini.................................................oooh haya basi si yawe tu.............................................ah!!!!we fala kweli.......................................kuma nina ;............utajiju....

    ReplyDelete
  8. nana wewe ni nyau, na kama si cahangudoa basi una stress za mapenzi
    mbwa wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwakwel huyu nana ana matatizo...hawez kukoment mpaka matusi...si amtukane mama yake....kwakwel ananiudhi sana...

      Delete
  9. nimempenda huyo mtoto hadi nahisi kuzimia. Mungu nisaidie nami nijifungue salama katoto kazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sio ww tu. Hata mm nimekapenda sana. Nataman kujufungua haraka sijui katakua hvyo

      Delete
  10. What a lovely husband,with a little angel...!

    ReplyDelete
  11. Katoto kazur mwaaaa

    ReplyDelete
  12. ujinga nao,lazima abebe mtoto kama mwanamke,he looks like a stupid dude of a man to me.mwanamme gani huyu ,kukaliwa nayo

    ReplyDelete
  13. i live in europe na mume wangu muropa but can neva do such an uncoth thing ati kubeba mtoto kwa mgongo ,huu sio uafrika,even im a woman n sincerely siwezi penda kuona mume wangu aki fanya vitu zingine za kike ka kubeba mtoto especially like a woman,ana boo tu sana ,ha bambi hata kidogo,saidia lakini uwanawake wachia wanawake,u simply look gayish

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bas ww mwanamke hujielew. Kulea mtoto kuna uafrika na uzungu si jukumu la wazazi... acha kuendekeza mila za kijinga. Ndo maana upendo wa mtoto kwa mzaz wa kiume mdogo kwasabbu ya ujinga. Mwanaume wa kwel hulea mwanae. Usikute huna hata mume...lea mwenyewe. Mume wangu humlisha mtoto kumwongesha na kumbembeleza mpaka analala. Huu n upendo kwa mtoto so kukaliwa. Elimika...maisha kusaidiana. Pole...

      Delete
  14. Ningepata mwanamme kama huyo, raha saana, any way that's good life

    ReplyDelete
  15. kunatatizo bhac mtu kuibeba dam yke

    ReplyDelete
  16. Hilo janamke cjui europ cjui wap lait kubeba huko mgongoni angebeba jay z lingetaman mijitu mongine bhana kma ina ugali kichwani na co akil pusi weeee

    ReplyDelete
  17. hyo mdada wa europe she az a point kulea co laZima abebe mtoto kama mwanamke y acmbebe kawaida ? sasa hapo anaonekana kama anamapungufu .......saidieni kulea bt angalieni na style zenu za malezi

    nawapenda sana hbaba n ur wife wth ur beautiful angel

    ReplyDelete
  18. Anajuaje kama ni mwanae. Unaweza ukajikuta unabeba toto la mtu mwingine.

    ReplyDelete

Top Post Ad