MWANAUME UKITAKA KUWEKA HESHIMA KWA MPENZI WAKO FANYA HAYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanaume acha kucheka cheka hovyo na upuuzi ukiwa mjini MKEO ATAKUWA ANAPAKULIWA HOVYO...haya fuata haya UTAONA MAPENZI yatakavyo nyooka...wanawake viumbe vilivyoumbwa kwa kudanganya danganywa...so do this steps wala usiongee maneno...then rudi hapa utoe ushuhuda...
1: Kama una bastola na mkeo au mpenzi wako
humwelewi...akiwa yuko home...ww chukua uwe
unaiosha osha...huku unaiandaa vizuri akiwa
anaona...usiongee sana nae...
..2.. kama huna bastola..chukua hata PANGA...noa
vizuriiii...paka mafuta huku unaicheki...huku ukipita
pita karibu yake...na weka somewhere kabatini...

..3..Basi kama huna panga...noa vizuriiii kisuu na
kiandae huku akiona na unapita pita karibu yake
USIONGEE KITU...akikusemesha ww mwambie
kilikuwa BUTU...usijibu sana...ila usicheke cheke

....HUKU UNAIMBA KIFOO KIFOO...kifoo...kifooo ..oooh kifo hakina huruma....

...Mwanaume usiongee sana kwani ushajua message
sent....then mwonyeshe dalili kuwa ana kucheat...ila
...usimwambie...ww tulia tu...utaona mabadiliko makubwa ajabu...atanyooka...

...mwanaume acha kucheka cheka hovyo au kusema
hovyo na mkeo atakuzunguka..

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwikwikwiiiiiiiiii!!!!! duuuuuh hii kali, sasa huon kama ndio atakimbia kabisa? coz utakuwa umemtisha ataogopa, wanawake wa sasa hawana uoga hata umtishie nini

    ReplyDelete
  2. Hahhahahahhahahahahhah!!!

    ReplyDelete
  3. Vitisho haviwezi kubadili tabia ya mtu, bali vinaweza kumfanya mtu aongeze kibur mara mbili ya mwanzo, ila kwa uzoefu wangu mm natambua kuwa maneno yenye hekima na busara ndio nguzo kuu iwezayo kubadili tabia za mtu, kwan hata wazee wetu wa zamani walitumia msemo huu, MANENO MATAMU YALIMTOA NYOKA PANGONI, nansi ya vitisho

    ReplyDelete
  4. Kweli aiee, haya yakweli binafsi nimesha fanya mambo yanayofanana na hayo na adabu ikawepo. I love it

    ReplyDelete
  5. Mshkaji umechapia kinoma mm ukiniletea swaga hizo nasepa kwan sina kwetu? @ bby q

    ReplyDelete
  6. Me wala siogopi anoe hata shoka

    ReplyDelete
  7. hiyo ndio yenyewe!

    ReplyDelete
  8. Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, N.J where r u? I'm waiting for ur comment pls. I miss you.

    ReplyDelete
  9. hapo umechapia wala hata hainogi kama umeambiwa jaribu utakuwa wa kwanza kuachika pole mm nishushie hapa waendeleze wengine

    ReplyDelete

Top Post Ad