NAHISI ANA MWANAMKE ZAIDI YANGU..NATAKA NIMFUMANIE KWA SUPRISE VISIT KWAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nina age ya 22 nipo kwenye relationship na mwanaume kama miezi 3 saizi tatizo limeanza baada ya mimi kuwa mbali kama 3weeks hivi.
Nahisi anamwanamke zaidi yangu kwasababu hata namna ya kuongea
inanitia mashaka.
Kuna wakati akiongea na mimi anaongea vizuri sana but sometimes nikimpigia simu anaweza akaongea haraka haraka and mda huo najua yupo nyumbani kwahivo hayupo bize.
Nkimuuliza mbonahivo upo na nani? anakata simu then anafunga simu kabisa, kesho yake anaweza kuniambia simu imezima haikuwa na chaji au hapendi maswali yangu kwani
naonyesha kama simuamin.
Nataka nimfanyie suprise visit, sababu nimesharudi safari naye hajui kama nipo hapa mjini ili nijue kama kweli anakua bize au maswali yangu yanamkera na hamna kingine.

Je hii suprise ndio itaua kabisa mapenzi au nifanyaje?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Replies
    1. Kama unaona anakuzinguwa anamwanaume basi tuwe na mimi ili ukipiga cm nawewe unamfanyia kama jinsi anavyokufanyia hapo utakuwa umemkomesha cheni feki, malipo dolla feki

      Delete
  2. out of topic,jaman nataka kujua jinsi ya kuondoa chunusi na kovu ndogondogo usoni

    ReplyDelete
  3. kama ajakuoa kausha fanya yako utaumia zaidi ya izo simu

    ReplyDelete
  4. Dalili ya mvua ni mawingu, heri uliache penzi lingali changa usije ukavunjwa moyo bure. Nilikuwa kwa penzi zaidi ya miaka mnne.Niliziona dalili za mke mwingine lakini nikazitupilia mbali ili nisije nikalivunja pendo letu..wakati nilipo tosheka na excuses, i went for the truth and followed my instinct.I was shocked nilipo tambua kwamba jamaa alikuwa ana bibi na mtoto wa miaka mitano..thankfully i had just graduated with my bachelors.Nilipata kazi na nikakumbana na mwanaume aliye nipenda zaidi ya jinsi nilivyo mpenda..tuko pamoja hadi sasa na yeye kesha nileta marekani ambapo tunaishi sasa. Ikiwa mwanaume anakupenda, niyeye anafaa kukusumbua zaidi kwa simu na suprise visits. Atataka kuwa nawe wakati wote kwani hataki fisi akuvamie. My new BF alinipeleka kwa wazazi wake kabla ya sisi kuja marekani na yuanisumbua sana nimpeleke kwa wazazi wangu..je mwanaume wako amesha kupa penzi kama hili ama anchokupa ni stress ilhali penzi lingali changa na wakati huu ndio anofaa kuwa akifanya juu chini kukufurahisha kila dakika..tafakari haya na uchague upendalo kati ya stress or walking away and finding your prince charming when the right time comes..

    ReplyDelete
  5. Kama VIP msikilizie Tu kwanza.

    ReplyDelete
  6. chapa lapa uende zako penzi bado ni changa mno bado kabisa ondoka mapema hapo amna mapenzi ya kweli nia yake alitaka akutombe asepe sasa izo ni sababu za kutaka kukuacha jiondoe mam

    ReplyDelete
  7. Mim nadhan ungefanya hiyo suprise kma moyo wako upo tayar kwa lolote 7bu anaweza akasema umemuacha kwa kumuonea akakugeuzia kibao kua huko ulikotoka umepata mwingine lkn pia unaweza anza kumchunguza kabla ya hiyo suprise ili upate uhakika na ikiwa kweli utakapofumania na mapenz ndo unavunja hapo

    ReplyDelete
  8. Mi nakushauri achana na hiyo suprise, maana una weza ukapata majanga mengine una weza ukamkuta yupo na mwanamke uvumilivu ukakushinda mkapigana mkaumizana bure, we mwambie ukweli kuusu tabia yake umsikie ata sema nini, asipo badirika achanae maana huwezi kaa na mtu hajatulia maradhi mengi mdogo wng

    ReplyDelete
  9. Anony at 2:16 am, comment gani unatoa kama gazeti, toa comment ndogo yenye maana, kuwa muelewa, pole sana kwa hilo

    ReplyDelete
  10. Njoo Kwangu Acha Huyo Hajui Kupenda 0767785970

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nae hovyooo kwan ameomba ushaur au amekwambia anatafta mpenz jielewe basi co laMa ucoment waweza pita kimya kimya tu

      Delete
  11. Kabla ya kwenda kumfumania au kabla hata hujaamua kumfatilia jaribu kuitazama kweli ya moyo wako. Ikiwa unahisi upo tayari kumuacha kwa sababu hiyo basi endelea kumfatilia lakini kama unaona bado moyo wako utakuwa na kigugumizi cha maamuzi hata baada ya kumfumania basi ni vyema usifuatilie hayo mashaka isipokuwa unaweza tu kumweleza juu ya unachohisi na namna unavyoumia ile tu kwa kuwasa if yes he does. Kwa ushauri zaidi piga 0686956290. Onyo, namba hiyo ni kwa ushauri tu, mengine kwenu. Am a man, Dr Sam

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha Dr. sam mengine kwao, ila hiyo hapo juu pengine ni picha tu usibababike, by the way suprise some time good some times bad kama walivyosema kuwa ukubaliane na lolote utakalolikuta, ila wakati mwingine ni bora kumchunguza ukajua ukweli mapema kuliko kupuuzia ukaja sikia ni too late na kwenye moyo ushamuweka itakuumiza sana

      Delete

Top Post Ad