NAOMBA KUJUA..WANAWAKE WENYE PROFESSIONAL HIZI WANA TABIA GANI MAPENZINI?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Naombeni kufahamu wanawake wenye hizi profession wana tabia gani katika ndoa zao ama wanapokuwa uchumbani mwao..

1. Wanawake wanasheria..

2. Wanawake wenye profession za mambo ya fedha kama finance management na accounting..

3. Wanawake madaktari na waalimu..

Je, hawa wanatumiaje proffession zao katika cheating wakuu???

jamani tuangazieni na wanawake wengine katika profession mbali mbali..!

Je kazi anayofanya mwanamke inaweza kumbadilisha na kuwa na tabia fulani???

naombeni maoni yenu wadau!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni tabia ya mtu tu haiwezi kumbadilisha chochote

    ReplyDelete
  2. ukiwa unajiheshimu na kujali familia yako hata uwe na professional gani haubadiliki

    ReplyDelete
  3. naamini kuwa ni tabia ya MTU ila wakipata kazi hizi ndio tabia halisi huanza kuonekana

    ReplyDelete
  4. Ni kweli professionals zinaweza kuathiri tabia za mtu kiasi fulani na si w'ke tu hata w'mme, mfano ecomomists kutokana na research za sycologists wameonekana kuwa wazuri katika matumizi ya pesa zao au kipato cha familia, walimu kwa kiasi fulani wameonekana kua wazuri katika kuhakikisha wanafamilia wanakua na maadili mazuri, wanasheria wameonekana kuwa wakali na watu wasiopenda sana jokes katika mahusiano. Lakini hii inategemea factors zingine pia kwani mtu mmoja anaweza badilisha tabia za mpenzie na si kwamba professionals inaathiri tabia 100%

    ReplyDelete
  5. lawyers are always interogeting rather than convesating ( namaanisha wanawake mawakili kila mara yeye maongezi yake ni mahojiano anataka kulead maongezi kwa kukuuliza maswali yanaitwa Leading questions yaan yeye kila kitu kwake anafanya ni kesi their so stupid) i dated two lawyes and they are just the same..

    ReplyDelete
  6. 87% ya family za hapa tz, mwanamke ndo anakua haed of the family hata kama hana professinal yoyote ile, if u want 2 understand about that look at your parents, u will see u r mthr wrong somthng inside

    ReplyDelete
  7. Lawyers mmechukiaje!hi hi hi..achaneni na huyo mpuuzi anayetoa hitimitisho kwa kuangalia hao mademu zake anaowaita stupid!You're the one who is stupid.Una bahati matusi ya nguoni siyatamki only because I'm a Lawyer..I know how to behave in public.

    ReplyDelete
  8. Wanawake malawyer ni wapumbavu sana sheria hadi kwenye mitombo utasikia fanya hivi lasivyo tuache tu. Nyokoooooo sana hao.

    ReplyDelete
  9. Sisi kuna lilawyer linatembea na boss wetu yaani linakera sana mkundu wake.

    ReplyDelete
  10. msg sent and delivered thats y ur mad....hahahahhahahah coz u guys u knows exactly the different btn interogation and conversation lakin mnawahoji wapenzi wenu badala ya kuongea nao eti simply because ur a lawyer stupid kwa nini wanaume who are lawyers hawafanyi hivo? only u galz stupid..

    ReplyDelete

Top Post Ad