NAPENDA KWENDA CLUB, LAKINI SIO NA MPENZI WANGU, ALONE TU..!! IMEKAAJE HII WADAU?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huwa siko huru kabisa ninapokuwa na mpenzi wangu club, kwanza kuna wakati naona kama namkosea heshima vile nikisalimiana na wasichana wengine anakosa raha, mara ananiambia amechoka anataka kurudi nyumbani halafu hapo ndio kwanza club pamenoga, alafu sisikii raha nikicheza nae napenda kucheza na mtu simjui najiachia mpaka, naona Bora niwe nimuache tu kiroho safi. Au vipi wadau..!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ni kweli muache tu ili tamaa ikujae kwa unaocheza nao ili wakakubebeshe virusi vya ukimwi ndipo utatulizana nyumbani,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera mdau hapo juu. Kama unashindwa kumpa raha za ujana...uzeen ndo utampa. Mjinga ww...

      Delete
  2. Unajua nn wanaume weng hupenda kilevi..ni wachache kwa ninavyoamin hunywa na kulewa chakar..sasa ukienda na mpenzio ukishalewa yeye atakukokota mrud hom. Kwa hiyo unataka ukokotwe na baa medi...? Epuka Ukimwi beba wako hata harusin,send off. Jivunie chako...

    ReplyDelete
  3. huyu anaonekana kule club kuna watu huwa wamfira akisha lewa kwaiyo akienda na mpenzi wake watu watamkosa bora umuache ukachezee kifiro vizuri sio mbaya.

    ReplyDelete
  4. We si malaya2 kama malaya wengine,utachezaje? na mwanaume mwingne wakati wakwako yupo,kama hukumpenda kwanini? uliolewa nae.we PIMBI nini? kafie huko.

    ReplyDelete
  5. we mdau soma kwa makini amesema anaona anamkera akisalimiana na wanawake wengne bado hujajua kama ni mwanamme sasa unaposema kwann alikubali kuolewa nae ndo nini sasa nahs umekurupuka tu

    ReplyDelete
  6. Manyoya weweeee......huna AKILI

    ReplyDelete
  7. Hakuna Tatizo, We Endelea Kutokuambatana Nae, We Ponda Raha Tu Na Hao Mbwa Zako, Ila Ipo Sk Utake Usitake Utaongozana Nae Siku Akiwa Anakukokota Kwenda Mwananyamala Kula Vidonge Vya Ukimwi.Kwahiyo Kwa Sasa We Endelea Kujirusha Bilicanas,msasani Club,na Huko Vijijini Wazazi Wako Wakitaabika Hawana Mtu Wa Kuwasaidia Wanalala Njaa,hawana Makazi Maalum Ni Ombaomba.Nao Wanaisubiri Maiti Yako Waje Wakuzike Huko Kijijini Kwanu Ambako Umekususa.

    ReplyDelete

Top Post Ad