NGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha viungo adimu katika mwili...Huyu Dada alimfika baada ya kuvaa kimini na kukatiza mitaaa bila woga ....Ona kundi ka wanaume wenye uchi wakimfuata nyuma huku mate yakiwadondoka.....Mweeeee
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Akatwe mtama watu wajilie vyao hadharani

    ReplyDelete
  2. Ushamba umezidi Tanzania angekuwa mzungu msingesema chochote.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mzungu hana stumu kama pigi tuu

      Delete
  3. Hao wanaoshangaa na kumfuata ni washamba au hawana shughuli.Marehemu Sokoine aliweka utaratibu wa watu kuja mjini sasa hivi hakuna watu wa ovyo wamejaa mitaani.Au utakuta hao wametoka Pemba na Zanzibar ndio maana wanashangaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. zanzibar watu wana ustaarabu wao,washamba nyinyi watanganyika msokwisha kuiga tamaduni za watu,mtafirwa hadharani mamakooo ww......

      Delete
  4. ukome! kutaja miji ya watu km umalaya wenu wenyewe halafu muwashuku watu wengine! pumbavu

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndio!!!zanzibar washamba,ukome mwenyewe shenzi we

      Delete
  5. kaz ku copy utamadun wawatu wengine

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uyo anaye taja znz na pemba inaonekana hata mama yake akikaaa uchi hatostuka kwa sababu ni utamaduni wao kukaaa uchi eeee pumbavu bc binadam mwenye akili ashindwe na ngombe ambaye akili hana lakin kapewa mkia na anajistiri

      Delete
  6. Kweli Tz wengi hawana kazi ndio maana umasikini unazidi. Yaani umati wote huu ndilo walilonalo la kufanya. Watu wazima hovyo fanyeni kazi acheni mawazo ya chupi.

    ReplyDelete
  7. Nani kaja na utamaduni wake mbn mnataka kutuchosha, mambo mengine sio ya kuyavalia kiroba, fanyeni kazi acheni umbugila wa kumfata dada wa watu

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona eeeh mdau...nimekupenda ghafla.

      Delete
    2. We Nana msenge nini umenipendaje ghafla, haka mi nina mtu wangu.... ukome!

      Delete
  8. Nitafute mim namba yangu imeshia 23 kama unataka post namba

    ReplyDelete
  9. Kweli n ukosef wa kazi. Mijanaume yote hiyo yamfata uyo dada....Ndo wale wanaoshinda vijiwen wakidai kaz hakuna wakati mapor yamejaa tele...

    ReplyDelete
  10. Kwakweli wadada kuweni makini nguo za disco mtaani hazifai lakini pia vijana wenzangu kuwaza kumfanyia jambo baya huyo dada siyo poa tutafute pesa wengine tunategemewa na jamii zetu..

    ReplyDelete
  11. we Nana sijui Nini akili zako inaonekana ni ndogo sana..hayo mavazi si ya heshima hata kidogo...ingekuwa club kidogo tungeelewa...lakini kweupe ivo!!..tatizo la watoto wa siku hizi wanataka kuhalalisha kila kitu...maadili yanapotea...sasa hivi mzozo wa mapenzi ya jinsia moja utasikia kuna mapimbi yanasema ni sawa..ee Mungu umba huu ulimwengu upya.

    ReplyDelete
  12. HUO NI USHAMBA NA UMBUMBUMBU,NGUO FUPI HAPO IKO WAPI? TUSIPENDE KUSAPOTI MAOVU TUKAYAFANYA KUWA HALALI. HATA KAMA KAVAA NGUO FUPI KWANI KUNA SHIDA GANI? TATIZO LA WATANZANIA FIKRA ZETU ZIPO KATIKA NGONO MUDA MWINGI NDO MAANA TUNADILIKI KUWAFANYIA DADA ZETU UHUNI. NA HATA MTU ANAYEJIFANYA ETI ANAKEMEA MANENO HAYO HAYATOI KWA DHATI KWANI NI MLAFI NA MHUNI TU!!

    ReplyDelete
  13. woote hapo juu ni malofa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad