OSTAZ JUMA AKAZIA UCHUMBA KWA JOHARI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Gabriel Ng’osha
PENZI limekolea na kinachoonekana sasa kwa Ostaz Juma Namusoma ni kukazia penzi lake kwa mwanadada Blandina Chagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi.

Habari zilizolifikia Amani kutoka kwa chanzo chetu zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini kubwa zaidi ni kamera kubwa, nzuri ya kisasa kwa ajili ya kerekodia filamu,” kilipasha chanzo hicho.

Amani lilifanikiwa kumpata Ostaz kwa njia ya simu, akafafanua: “Ni kweli nilikuwa Afrika Kusini. Kuhusu Johari, ni kweli si mke wangu? Nimemletea zawadi nyingi sana, achana na hiyo kamera unayosema.

“Lengo ni kuweka uchumba wangu  na yeye sawa. Nilitamani sana kusafiri naye lakini sikutaka kufanya hivyo ili kuweka usawa, mke wangu asione nimeegemea zaidi kwa mke mdogo.”

Alipoulizwa kwa nini amemuita Johari mkewe, haraka alisema: “Ndoa ipo karibu, nimeshaamua Johari awe mke wangu wa pili. Wadau wasubiri waone, uzuri ni kwamba dini yangu si kikwazo.”

hagula ‘Johari’ anayesumbua kwenye Bongo Muvi.
Habari zilizolifikia Amani kutoka kwa chanzo chetu zinasema kwamba Ostaz alifunga safari kwenda nchini Afrika Kusini kwa mapumziko mafupi lakini pia kumnunulia mpenzi wake huyo zawadi mbalimbali kwa lengo la kupalilia uchumba wao.

“Jamaa alikuwa Sauzi (Afika Kusini), aliondoka hapa tarehe 17 (Machi) na amerudi tarehe 21. Kamletea zawadi kibao lakini kubwa zaidi ni kamera kubwa, nzuri ya kisasa kwa ajili ya kerekodia filamu,” kilipasha chanzo hicho.

Amani lilifanikiwa kumpata Ostaz kwa njia ya simu, akafafanua: “Ni kweli nilikuwa Afrika Kusini. Kuhusu Johari, ni kweli si mke wangu? Nimemletea zawadi nyingi sana, achana na hiyo kamera unayosema.
“Lengo ni kuweka uchumba wangu  na yeye sawa. Nilitamani sana kusafiri naye lakini sikutaka kufanya hivyo ili kuweka usawa, mke wangu asione nimeegemea zaidi kwa mke mdogo.”

Alipoulizwa kwa nini amemuita Johari mkewe, haraka alisema: “Ndoa ipo karibu, nimeshaamua Johari awe mke wangu wa pili. Wadau wasubiri waone, uzuri ni kwamba dini yangu si kikwazo.”
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

30 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yan we mdada mzur hvyo unaenda ingia kwenye uke wenza! majanga! sasa huyo musoma c apeleke msaada kwa famly yake huko kjjn kulko kuongeza mke? we kijana fkria usiendeshwe na id, use super igo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Johar wote wazushi wewe kama umependa wacha akuoe mzungu kitu gani? Wazungu wengi michosho wazungu zamani

      Delete
  2. HUYU KAKA NAHISI NI DRUG DEALER JAMAN KWA ELIMU GANI NA JEURI GANI YA PESA ALIYONAYO MPAKA ALETE HEADLINES MJINI NA HUYO JOHARI MWENYEWE KAANGALIA WALLET HANA LOLOTE AF AMEBREAK UP NA MZUNGU WAKE SI NILISIKIA IRENE AKIMSIHI ATULIE KWA HUYO MZUNGU NW IMEKUA NI USTADHI KUMA NA MUSOMA.....WASENGE WOTE

    ReplyDelete
  3. Unafurahia sshivi kua bi mdogo kuingilia ndoa ya mwenzi ss dini inaruhusu wake wa nne usilie na ww akiongezwa mwenzio shenziiiiii

    ReplyDelete
  4. Hata hawapendez kuwa mume na mke

    ReplyDelete
  5. Ni kama mbwa na paka vile,

    ReplyDelete
  6. mzungu imesihia wapi tena, si alisema kavihswa na pete ya uchumba ndoa karibuni kulikoni au naye majanga na mzungu wake kama mange kimavi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. we nae mmbeya tu mange anamajanga gani?waache waambukiza virus vipya...vimtoka kwa kwa mainda.then kwa ray-johari-ostazi kuma na mkewe watavipata...ndo maisha yalivyo ayapingiki.

      Delete
  7. uyo mange anamajanga ya kujishaua majina utazani hawataki au hawapendi hao wanae, eti keanu ndo nini sasa eti acter ushuzi mtupu, mara bhoke, mara kenzo ,kazi kweli kweli, majina utazani mizizi ya dawa za kienyeji, na anakazi maana ni mwendo wa kubanana na uyo mtoto na icho kijiappartment kams siyo kumlaza mtoto kwenye iyo baby stroller mbona majanga mwaka huu kwake.mashauzi mengi life lenyewe la kawaida full dramas na kuofia watu mtembelea,mbona wakati wa xmass akiwa wa wakwe zake ndo mashauuzi kualika watu wakamtembelee mbona kijiappartment chake na alivyo rough anaona aibu kama si soo kualika watu, majanga kidogo,maisha ya kenye mablog na dramas kazi kwelikweli.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unavyo flow tuliosoma saikolojia tumeshakusoma,unamuonea wivu.

      Delete
    2. Wabongo washambaaa baadhi yenu, mmeshazoe majina ya mwajuma,avijawa,sikudhani nk,google Jina la kenzo au Keanu ,Kama bhoke ni jina la kilugha,Jina lake halisi ni Cassandra .mange we love you mwaya.

      Delete
    3. Waliozalia nyumbn hao,,,kuma kubwa kama rambo

      Delete
  8. Mdau wa 7:40AM kula tano,wivu na chuki binafsi ndio zinazotusumbua,mtu akae kwenye studio.trelar,one bedroom au big house ni yeye tu na maisha yake mradi siku zinaenda na ana take care bills zake bila kupiga hodi kwa mtu.Punguzeni chuki kapostiwa Johari na Ostazi Nduli hutoi comments kuwa husu wao unamtaja Mange,Kutokujiamini wangu Tema mate Tumchape haaaaa!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena wanamuonea wivu mange wa watu, mumuache mama kaenu miaka elfu mumuache alee kichanga chake, haters go hang urself

      Delete
  9. Yaan johar umechemka huyo mke wake anambongaga vipi! Alafu ni malaya hatar nasikia alimchukuaga mtotoupandewa ndugu wa mwanamke akaji anamsomesha coz dogo alikataaga kusoma kumbe kufka huko akalala nae sasa mtoto bandidu haend shule anaenda kwa wanaume ostaz badala ya kumpiga kisa haend shule anampiga kisa wivu wa mapnz

    ReplyDelete
  10. Tatzo watu hawapendi kufanya maamuz angali vijana tangu kipindi hicho chote tumjue kusema hajawah kupata wake peke ake kumueka ndani ila ss anaonda ujana unamvuka anabaki kuparamia utakua kichaa uke wenza unauma waza ni ww ungefurah mbona mlikua mnapigana kwa huyo ray kibamia nyambafuuuu unaniudhi had namba ya mwisho

    ReplyDelete
  11. Tunamuonea huruma uyo mange wenu kinuka mkojo kafulia hana jipya nyie vinuka mkojo wenzie mnaojiita timu mange wakati ni mange mwenyewe pumbavu zenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwenzenu kazaa hospital alikozalia Kim kadashian.Ebu mumuwache ale vyake,k mbichi nyie,zinanukaaa k zenu.

      Delete
    2. We ni hater tu

      Delete
  12. Johar dhaifu, umeacha ka hand somebody umeenda kwa li odd Amin kweli madem na pesa

    ReplyDelete
  13. Mange kazaa mnijuze jaman maana sitembelei blog yake no morw baada ya kumjua hazimtoshi

    ReplyDelete
  14. Acha uboya wewe, kazaa amekuwa n'gombeee c uende kwa blog yk na cio kuuliza utumbo

    ReplyDelete
  15. Mwanamune analaana ya wazazi wake wanashida kijijini yeye ananunua zawadi za garama. Ustaz nenda kijijini ukaombe radhi na umpeleke baba ysko hosp akatibiwe mguu
    wadogobzako wamerudishwa ada shule za kata aibu iliyoje.

    ReplyDelete
  16. Ostazi kuma la musoma

    ReplyDelete
  17. Hahahaha mange unawapa presha eh eh eh eti maisha ya drama,,kuma mako,,,,mtu ana maisha yake na familia yake,,,unaumia nini sasa,,,kama maisha mazuri ya kumtosha yeye na familia yake,,,anayo,,na ukweli ndo huo,,

    ReplyDelete
  18. mange amejifungulia Cedars
    Sinai in a private delux room,she is a star like kim,jlo and others,ni mbongo wa kwanza kuvunja record,mwenye wivu ajinjonge,mashauzi yanahitaji pesa (in mange voice).

    ReplyDelete
  19. Habari ndo hyo mange we love u mama, tutakutetea adi mwisho achana na hao wanaojiita wanawake wa mjini wakati hawana lolote wamejaa unafiki na maradhi

    ReplyDelete
    Replies
    1. hapa anongelewa ..ostazi kuma na johari..mange tena katokea wapi..watu mnamidomo..huyo mange kwani yeye nani hasa mpaka awachemshe..itdkuwa kuna mtu ampensi ....awe muangalifu au kisa sexfree!!!?yaani sexfree imelete mabalaa,,,watu presha juu bibi fulani comfidence imemwisha kabisa...ktk kipendi chake cha wanawake kujificha..!!!!namuona anapauka sijui mkorojo umedunda yaani stress tu zakuumbuliwa ..anakufa ndani kwa ndani ...chezea Ukweli!!!!!

      Delete
    2. Si ndo apo, ata kam analala kwenye kijumba kidogo si yy na maisha yake na yupo happy na familia yake mlitaka aishi kama Bill Gates? Nyoo mumkome mama kaenu

      Delete

Top Post Ad