OSTAZ JUMA"WASANII NA WATANGAZAJI WANA NJAA SANA..MTAKUFA NJAA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..

Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:

Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.

Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?

Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.
Naomba nyie mabloger na watangazaj msio kua na taaluma wekeni na hii.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha kusema hela inaongea ww una pesa gani mpaka utowe tusi hilo,kama huwezi malumbalo na mtu acha ww uwe na pesa na mm nitakuvipi?

    ReplyDelete
  2. Mwenye pesa haongei pumba muda huo hana nasaha zangu kwako jaaribu kufuata nyayo za mzazi chifu kiumbe huwezi msikia anaongea ujinga hata siku moja coz yuko bize kutafuta pesa kaka kwanza mayungwe malumbano no chance

    ReplyDelete
  3. MSENGE WEWE MBOO YAKO HANISI MKUBWA WW

    ReplyDelete
  4. Kamdhalilisha huyo msanii kisha anajisifu yeye tapeli na anahela! Eti wasanii hawana shule? Yeye mwenyewe anaonekana shule ni zero. Sura yako na tabia yake vimefanana, mtu mzima ovyo!

    ReplyDelete
  5. na rostam aziz na kina bakhresa watasemaje kama ww eti una ankara tehe tehe.tembea uone watu walivyokuwa ma mihela..

    ReplyDelete
  6. kipimo ni kidogo 2 kwa huyu jamaa ili 2 jue kama kweli ana Hela.....awalipe wachezaji wa yanga wale first 11 tuu kwa miezi mitano iliyobaki mpaka pale ligi itakapoisha......

    ReplyDelete
  7. Una Hela or una coins? Damn...Ujinga umekutawala,ww mwenyewe shule zero ndio maana unaropokwa tu na hufkiriii hata ulichokifanya km ulikuwa wrong.....Pumbavvvvv....

    ReplyDelete
  8. Sasa ukweli tu hebu jieleze historia yako ya kielimu halafu tuambia unauwezo hata wa millioni 10.kwenye akaunt yako kama hujuo akaunti kwenye hakiba ya pesa benk pumbav.

    ReplyDelete
  9. Ana pesa gani huyu kinuka mkojo. eti pessa wenye pesa hawaoni mpumbavu tu

    ReplyDelete
  10. nampenda sana mume wangu jacob na hela zake

    ReplyDelete
  11. Hahaaa..hajieliwi jamani msameheni.

    ReplyDelete
  12. Mavazi lol unajipya kumbavu WW mwenye hela hasemi msenge mkubwa,sura kama ulitokea Sudan,nyoo mavi y kuku.

    ReplyDelete
  13. sio bure huyu kapigwa kipapai. ameshawehuka

    ReplyDelete
  14. hv hiyu mwezi mchanga anaejiita ana hela c aje huku mwanza kwetu ndo ajue kuna watu wana hela? njoo mwanza wewe ostazi unilindie geti hela uliombayo benki yote mimi ni tumizi langu la cku 1, njoo nikufanye mchumba fala wewe, ucwadhalilishe wasanii kwa vujisenti vya kuchezea pool hvyo. njoo ukutane na wenye hela wewe. na nyie wasanii muache kumtaja jina huyo mpumbavu kwenye nyimbo zenu ili tuone kama atasikika, ajui kama nyie ndo mnampa proud hapo dar? njooni mza mle maisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi pia natafuta kazi tajiri wa mwanza please niajiri! Au kazi ulizo nazo ni kwa wanaume tu?

      Delete
  15. Si wanaazima na magari yako , wachane tuuu osztazzzzzzz

    ReplyDelete
  16. Huyu kweli mwehu. Hela yake ni kwangu ni ya chai ya siku

    ReplyDelete
  17. Msipoteze muda, kwa tukio tuuu licha ya mwonekana anaoneka hana shule. Asa hivi naye atasema anahera? Shule hana huyu, mlioitwa watangazaji njaaa kawadhalilisha boya huyo, hata kama mtangazaji huna njaa nawe humo.

    ReplyDelete

Top Post Ad