PENZI LA MR BLUE LAENDELEA KUMTESA NAJ.."TOKA NIACHANE NAE SIJAPATA MTU KAMA MR BLUE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi kukutana na Mwanaume na wala hajawahi kumpenda mwanaume yeyote, Naj amefunguka hivi karibuni kabla hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia kuwa alikua na Mr Blue kwa miaka mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa na Blue akamkana hadharani na kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine hali iliyomhuzunisha na kujutia muda wake, Naj akamalizia kwa kuniuliza Je angeutumia muda huo kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo sasa hivi anacho angalia ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko singoooooooooooooo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kweli anapoint hapo , hata kama anadanganya kuhusu kunanihino. 5 yrs ni mingi kumpa mtu uroda mwisho wa cku he or she just walk away bila sababu ya msingi. Kwa vile vitu hivi vinatokea pande zote mbili mm cna ushauri wowote zaidi ya kuwaambia watu wasome alama za nyakati, wrighting on the wall or read btwn the line usibwage nanga kirahisi kwa umpendae. Mtu anaecheat ni rahisi mno kumjua KAMA wewe hucheat. Ni inbox nikupe data.

    ReplyDelete
  2. naj ana matatizo ya akili.atakuwaanapiga punyeto
    anajisafisha tu, wizi mtupu.

    ReplyDelete
  3. kwa sasa njoo kwangu na mimi nipige hata kimoja juu juu

    ReplyDelete
  4. Saivi naj ni mchepuko wa blue!

    ReplyDelete
  5. Nae malaya tu huyo anajishaua hapa,eti cjapata km mr bluu,nyooooko lione kwanza,UK anafata nn km sio kupeleka hyo tgo ikaliwe na wenyewe....naj usenge hatutaki kahaba ww

    ReplyDelete
  6. NJOO KWANGU NIKUBANDUE HIYO 0713

    ReplyDelete

Top Post Ad