PETER MSECHU AMTAMBULISHA MAMA WA MTOTO WAKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The Tanzanian Singer introduced his baby mama in this awww-inspiring message

" Happy birthday to this beautiful girl of mine aka mama lolo, mama yake mtoto wangu ,mother house, mother kitambi, mother misosi ,mother manager ,mother kila kitu... since 2002 till now 2014 we still gandana like super glue.... utatudanganya nini..... I love u so much na I wish u happy birthday uzidi nizalia mitoto mizuri mizuri kama lolo nipige hela mimi za posa.... live long live long live long! "
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. msikie eti mke wake azae watoto wazuri apige hela ya posa. Huyu mfanyabiashara wa watoto au?

    ReplyDelete
    Replies
    1. nkama furaha yake 2,na wala hajamaanixha vbaya.anaipenda familia yake,pia niweze kumpongeza kuw na upendo na kuvumiliana kama BEYONCE&JAY Z.

      Delete
  2. lovely Msechu, keep t reaL..

    ReplyDelete
  3. Mtu mwenyewe wa kuzaa watoto wazuri yuko wapi sura kama bi cheka.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha wivu ndugu...ndo keshampenda ivo ivo ata kama sura nikama ya bi cheka!ivi watu wapoje!!...au ulitaka umzalie wew!?..weka sura yako tuione..kama si zaid ya bi cheka..mfyuuu...

      Delete
    2. Wivu tu huna lolote.. weka sura yako tuone.. inavoonekana ukiweka sura hatutajua km wewe mwanamke au mwanaume af unamwita mwenzio bi cheka.. wivu tu unakusumbua.. wenzio ndo washapendana na wanaendana.. kaz kwako utakalia majungu tuu..

      Delete
  4. Aliyempenda anajua uzur wake kwaiyo w anony sura ka bi cheka kaa kimya tena funga bakuli ...

    ReplyDelete
  5. Ni mzuri jamani acheni majungu.Wewe unaeponda unawashwa si ajabu wewe ipo kama bundi.

    ReplyDelete
  6. Bundi bibi yako mchawi.

    ReplyDelete
  7. Big up msechu

    ReplyDelete
  8. Sasa wewe hujaoa umemzalisha mtoto wa watu ila watoto wako unataka waposwe angalia usije ukaishia kupokea wajuuu tu kaoe na wewe huyo mama watoto wako

    ReplyDelete
  9. Mijitu mingne bana unasema amzalie mitoto mizur wkt sura ka bi cheka mtoto wake umemuona wewe?? Mtt mkali we na majungu yako utabak kuwa nungayembe mxiuuuuu

    ReplyDelete
  10. jaman tatzo likowap? acha wvu usio na maana kam yamekushnda yamekushnda 2! mwanamke mbaya sio mke? n ww utakapoamua kumchagua mzur utampata kvyako.naye hajasema mzur,anazungumzia on his&her hap life.

    ReplyDelete
  11. hata mksema mwenzenu anamaixha bora yenye furaha,pengne hata awala wako anakuzngua

    ReplyDelete
  12. NAWASHUKURU WOTE KWA COMENT ZENU NZURII.... NAFURAHI KUSIKIA HIVYOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad