PICHA ZA DIAMOND, JOHARI, RAY NA UWOYA ZATUMIKA KUPAMBA RESTAURANT CHINA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa blog ya Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana kama inamilikiwa na mtanzania au lah, huku picha za Irene Uwoya, Diamond Platinumz, Johari na Vicent Kigosi "Ray" zikitumika kupamba kuta za restaurant hiyo. Angalia picha hizo hapo juu.

Picha hii ya Johari na Ray inasemekana ilipigwa miaka kadhaa nyuma wakati wakiigiza filamu ya Revenge na ipo katika Restaurant ya Medina nchini China.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana ni kitu cha kupendeza sana angalau kuna wenzetu walioutambua mchano wao kama mastaa wa Bongo kwenye level za kimataifa. Tupende vya kwetu mweee

    ReplyDelete
  2. Kajirestaurant kadogo ghorofa ya 27.mtanzania mwnzt mtoto wa mwaibula hapo sinza' hata mangoma ya tz hupigwa sana hapo'watz weng wanapenda kwenda kula'picha zpo za wasanii weng mbona

    ReplyDelete

Top Post Ad