POMBE ZA MCHANA MCHANA NI SHIDAAA......ONA HAWA JAMAAAA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hawa jamaaa walikutwa mchana kweupe wamezima kwa kunywa Pombe nyingi na kuzidiwa..Muda huo wa mchana walitakiwa wawe kazini wakijenga Taifa lakini wao mi mitungi kwenda mbele ....Je unafikiri kuna haja ya Serekali kupiga marufuku unywaji wa Pombe mchana kama walivyofanya wenzetu Kenya?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio uko aja yakupiga marufuku unywaji wa mchana

    ReplyDelete
  2. Pombe ni kitu kisochokua na faida yoyote kwa mtumiaji zaidi ya kumuongezea matatizo na madhara kadhaa. Bila kujali imetumiwa mchana au usiku. Mtu yyt mwenye akili timamu hawezi kuwa mnywaji wa pombe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. exactly ni ujeuri tu wakutoelewa mambo

      Delete
  3. mbona pombe zinauzika sana..!!!!eeeeehhhhhhhhhhhhhhhhhhhmuulize masogange

    ReplyDelete
  4. Starehe ya m2 kama ww hu2mii ki mpango wako! Nyau

    ReplyDelete
  5. Tena nyau mwili mzima

    ReplyDelete
  6. wamekosa shughuli za kufanya na kujituma wameshindwa, matokeo ndio hayo kuangukia kwenye urabu

    ReplyDelete
  7. msiwahukumu watu wanaokunywa pombe wengi wao wana matatizo wa msongo wa mawazo, mimi mwenyewe nakunywa pombe kutokana na msongo wa mawazo nimejaribu kutumia dawa za msongo wa mawazo za kila Aina lakini imeshindikana kunitibu, ni pombe peke yake ndiyo inanitibu msongo wa mawazo na stress ila sinywi pombe kila siku ni mara tatu kwa wiki

    ReplyDelete

Top Post Ad