REHEMA FABIAN LAIVU NA KIBABU CHA KIZUNGU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu huyo ambaye kwa kumwangalia harakaharaka anaweza kuwa sawa na mjukuu wake.
“Unajua mapenzi ya wazee ni mazuri sana, kwanza wanajua kubembeleza, isitoshe hawakupi msongo wa mawazo mara kwa mara kama yalivyo mapenzi ya vijana na ndiyo maana Rehema akaona bora ajiachie na kibabu,” alisema mtonyaji huyo.

Baada ya kupata ‘infomesheni’ hizo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Rehema ili kujiridhisha kuhusiana na stori hiyo ambapo kwa upande wake alianza kucheka kisha kudai aachwe ale ujana.
“Ahaha! Mshaanza mambo yenu, niacheni jamani nile ujana,” alisema Rehema.
Credits:GPL

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sioni uzee hapo .mbona kijana mnajua wazungu wanazeeka mapema

    ReplyDelete
  2. Tatizo nn ?muhimu mboo kuwajibika.kama ameridhika poa zetu za kibongo umezichoka!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli mdau rehema peana kuma hiyo kwani ya nani si unaosha mwenyewe hiyo ndo inakupati riziki

      Delete
    2. Watu wengine.... sasa matus ya nn???

      Delete
  3. mwacheni ale vya kizungu, kivyakevyake, haya ni maisha yake mnamchokonoa mpate cha kusema, ili mmpondee.

    ReplyDelete
    Replies
    1. changudoa huyo balaa,lakini wote machangudoa tu.Bora afurahi

      Delete
  4. kimpango ake. mwache a-upgrade kizazi kwa kuzaa chotara, kwa kumiksi na mtasha

    ReplyDelete
  5. Ni maisha take awe malaya kahaba inawahusu/??????

    ReplyDelete
  6. Huyo rehema kaacha utoto kijijini amudumii anaendekeza kuza kuma china afu utoto mdogo salam zako kwa mamako kamtoe kule banda la udongo na mwanao ulomtelekeza unakataa una mtoto ngoja niende tena ntampiga picha malaya we

    ReplyDelete
    Replies
    1. kumbe anae mtoto?umalaya aachi mpaka afe.

      Delete
  7. Ana mtt mkubwa tu ila apend kusema kamwacha kijijini na mamake wala awana uduma kuma huyu kila siku mamake anatupa salam

    ReplyDelete

Top Post Ad