SAFARI YA DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO INGINE YAIVA-WEMA AMSINDIKIZA AIRPORT

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond leo Asubuhi Uwanja wa Ndege wa JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu chake dogo yupo juu.

    ReplyDelete
  2. wema ndohivyo wenyewivu wajinyonge nawanafki wasiopenda watakoma.

    ReplyDelete
  3. hongera unaweza dogo.

    ReplyDelete
  4. Penny utabaki ukiwakodolea macho tu. Utasubiri sana mama bora utafute wako mara ngapi ubashauriwa husikii hawa jamaaa hata wakikwaruzana usiingilie ndani wanapendana toka moyoni hata picha zao huwa zikionyesha mapenzi ya kweli yao bila hata kuambiwa. Kugombana hata mke na mme hukwaruzana sembuse boyfriend na girlfriend uko juuu madame love you guys

    ReplyDelete
  5. Platinum balaaaaaaa!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Kila la kheri jembe safari njema

    ReplyDelete
  7. Nenda nigeria sie huku bongo tujitombee

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani akiwepo hapa bongo huwaga hudisi au una matatizo gani?

      Delete
  8. Yaaan hiyo picha imenichekesha wema anaonekana bonge la mama Diamond kama kitoto kweli wema una umbo baya hapo hujazaa du. Ndio maana Diamond hatulii kutafuta vipo r table size yake. Kwako yupo kibiashara gut mama Diamond hawez kukuooa ww amka tafuta a really men Domo anakutumia tuu ili aongeze fans

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeulizwa......Shobo tu

      Delete
    2. yanakutoka
      maneno mengi hayakuhusu, waache walale, kwan kuwa na umbile kubwa ni
      dhambi, labda kama umeanza kufanya kazi ya kuumba watu, aolewe au
      asiolewe haikuhusu.

      Delete
  9. Ka mtu na mwanaye!! Duuuh!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umbea
      2, wala huwez kusema kama mtu na mwanae, wema hawez kuwa amemzaa
      diamond hata ck 1. umbea tu msiopenda kuona watu wakipendana. habar ndo,
      kama hutak kajinyonge kwa bigjii.

      Delete
  10. Penny ukaburuzwa kwemye 40 mbagala open ya eyez jua huna roho km wema ww nduguzo husaidii pia ww mchoyo maninaa halima anakuchora

    ReplyDelete

Top Post Ad