SAMWELI SITA AULA BUNGE LA KATIBA...WENYE WIVU WALIE TU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye Samweli Ameukwaa Uspika na Uwenyekiti wa Bunge la katiba leo hii jioni kwa kwa kupata kura nyingi ....Mie Binafsi nimefurahi nahuhakika na Mzee huyo ...Kwani aliongoza Bunge Vizuri sana Enzi zake......Unasemaje kuhusu Sitta ? Toa maoni yako hapo chini
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anna Malinda vipi

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna hata ulijualo katika nchi yako lalale

      Delete
  2. Sorry I meant makinda

    ReplyDelete
  3. Namkubali sana

    ReplyDelete
  4. Huyo mzee safi xana hana uccm kama mama yao anna

    ReplyDelete
  5. Saf,tunamuombea tu mungu ampe nguvu nautashi maana sikaz rahis

    ReplyDelete
  6. Namkubali Mzee ana heshimika lambda kelele zitapungua

    ReplyDelete
  7. Asante tunaimani nahuyo Mzee anapenda haki siyo yule mama wairinga ikosiku atajinyonga.

    ReplyDelete
  8. Safi sana. Tunaimani nae ataweza kulisimamia bunge vizuri na kwa haki bila kupendelea upande wowote.

    ReplyDelete
  9. kajisemeleza maneno mengi baada ya ushindi.mfyu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nana kujitia ujuaji na vitu vingi hujui sikupend kama mavi yangu

      Delete
  10. safi sana, pamoja mimi siko ccccmm lakini namkubali sana huyu mzee, hata uraisi utamfaaa

    ReplyDelete
  11. haya kafanye kazi sasa sio maneno tu

    ReplyDelete

Top Post Ad