google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI | UDAKU SPECIAL

SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Shani Ramadhani
STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba  hajielewi.

Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.

“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby Madaha, hanisaidii chochote kile katika maisha na kazi zangu pia sioni sababu ya kupigizana naye kelele, mtu mwenyewe hajielewi,” alisema Shilole.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Subiri nikuforwe

    ReplyDelete
  2. umenena shilole baby taahira kila mtu anataka agombane nae yy fani yake uchangudoa ndiyo maana alikamatwa na ofm.

    ReplyDelete

Top Post Ad