TAMKO LA KUKAA NJIA KUU KWA STAILI HII HALITAWEZEKANA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mhhhh Mweee Kwa staili hii kweli tutafika ?
Eti huu ndio utamu wa Mume...........
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. When the going get tough then tough get going so keep calm we shall cope soon.

    ReplyDelete
  2. Hivyo ni vijembe vya wake wenza...! Maisha magumu,kodi juu,umeme na maji juu,ada za shule.juu...leo hao wanaooa wawili tu wanakomaje...! Ukitaka maisha mazee mke mmoja...tosha kabisaaaa

    ReplyDelete
  3. Ayo maneno sawa kabisa ikiwa mmoja atakuwa anajisikia sana manake anaona hana mwenza lakin wakiwa zaidi ya mmoja anajua asichofanya yeye atafanya mwenzake apo lazima ajipange

    ReplyDelete
  4. Wake wa4 bana jando liko na nguvu

    ReplyDelete
  5. Wake 4 ndo mpango mzima. Mke 1 apunguza apitite bana.

    ReplyDelete
  6. bakari. Kitambulio3 March 2014 at 08:47

    huyo m1 tu pasua kichwa. Je wa4

    ReplyDelete
  7. wacha tuoe maana mwanamke akiwa peke yake anakuwa na jeuri na madharau kujifanya yeye ndo yeye mnajisahau sana halafu siku zote mke wa pili kwa uzoefu wangu ndo anapendwa sana maana ana vitu tofauti wacheni tuoe ili heshima ziwepo na ukishajua una mwenzio unaanza kuhaha kujilinganisha nae hii naipenda sana wanawake mjipange wanaume tunaridhika na vitu vidogo sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. siku hizi mtu anajua kabisa wapo wanne au hata wawili wewe unaona anakuheshimu hakupi tabu kumbe kuna mwenzio nae anakusaidia kutatua matatizo. oeni tu wake wanne sie tusaidie kuwatunza wake zenu.

      Delete
  8. MI MWENYEWE NINA MKE MDOGO JAMANI RAHA NAZOPATA WALLAH MKE MKUBWA HAMFIKII HATA MARA MIA YAANI NADHANI MKE MDOGO NDO ALIKUWA CHAGUO LANGU HUYU BI MKUBWA KAMA ZALI NAMUHESHIMU TU MAANA NI MAMA WA WANANGU ILA ANA KERO JAMANI ANA MDOMO,MJUAJI ,HANIHESHIMU KWELI WADAU NIMEKOSEA JAMANI ILA MKE MDOGO ANANIHESHIMU SANA NAKUNIJALI JAPO HAJAJALIWA MTOTO ILA ANA MAPENZI YA DHATI HUYU MKUBWA ANAPENDA PESA NA ANAPENDA NDUGU ZAKE WA KWANGU WALA HAWAJALI HANA MDA NAO SIPASWI SEMA HAYA ILA YANAKELA SANA INSHALLAH MWENYENZI ATAJALIA

    ReplyDelete
  9. MI MWENYEWE NINA MKE MDOGO JAMANI RAHA NAZOPATA WALLAH MKE MKUBWA HAMFIKII HATA MARA MIA YAANI NADHANI MKE MDOGO NDO ALIKUWA CHAGUO LANGU HUYU BI MKUBWA KAMA ZALI NAMUHESHIMU TU MAANA NI MAMA WA WANANGU ILA ANA KERO JAMANI ANA MDOMO,MJUAJI ,HANIHESHIMU KWELI WADAU NIMEKOSEA JAMANI ILA MKE MDOGO ANANIHESHIMU SANA NAKUNIJALI JAPO HAJAJALIWA MTOTO ILA ANA MAPENZI YA DHATI HUYU MKUBWA ANAPENDA PESA NA ANAPENDA NDUGU ZAKE WA KWANGU WALA HAWAJALI HANA MDA NAO SIPASWI SEMA HAYA ILA YANAKELA SANA INSHALLAH MWENYENZI ATAJALIA

    ReplyDelete
  10. Oeni wake zenu tu jamani si tunawamega kisela na kilaini kabisa. uwezo wa kuwahudumia kipesa mnao ila kuwaridhisha kitandani hamna...unahisi mkeo anatatizo kumbe wewe ndo una matatizo mbaya zaidi unapokua na mke mmoja kwa wakati fulani wale wengine wanakusanifu tu. kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa. mambo si kama zamani kuwa wanawake wanangoja muwafanyie mnavyotaka. akiona ana mwenzie anafurahi anatafuta vijana kama sisi tumtulize moyo na hatukoseii. oeni bhana si tupate wake wasioridhishwa tuwaridhishe.

    ReplyDelete

Top Post Ad