TAZAMA PICHA YA MSANII LORD EYEZ AKIWA MBALONI KWA TUHUMA YA WIZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.
Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa.
Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Daaa hizi ndo faida za nyunga ona sasa unaumbuka MTU mzima

    ReplyDelete
  2. Ishu ya power window za DIMPOZ nilihs km mchiz kapakaziwa 2 ila kwa hli tena nashawishika kumdis jamaa

    ReplyDelete
  3. kaeni mkao wa kula niccccccck wa pili yupo clouds kutoa tamko dhidi ya lord eyez leo hii

    ReplyDelete
  4. Kijana hakuna njia ya mkato katika maisha...utaozea jela sasa.

    ReplyDelete
  5. Kafie mbele,hela yenyewe ukipata ya wizi unaenda kuhonga Malaya tuu na kunywa bia za asubuhi asubuhi,kuma tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ww mpuuzi hiyo kuma imetoka wap hapo,mfyuu huna adabu wakati kuma hiyohiyo demu wako akikunyima unalia!! stupid,hujui ndo ulikopitia kuja duniani?? Ieshimu basi!!

      Delete
  6. Hilo levi. Kazi ujinga tu.

    ReplyDelete
  7. jamaa anazid kuchafua brand ya weusi

    ReplyDelete
    Replies
    1. no! no! no! cocaine,heroine,exctasy,marijuana ndo inayomtesa mshikaji,kama vipi afunguke asaidiwe,alikuwa anatumia na ray c,ni kitu yamabillionaires, mwenzangu na mie siku 2 tu unaliwa 0717,

      Delete
  8. taifa linakosa vijana wachapakazi coz ya unga jaman na wasanii ambao ni vioo vya jamii wanaongoza.imagine wanalalama sana wananyonywa sana katika kazi zao of which ni kwel ila je wakipata zaidi si mpaka studio zitakuwa vibanda vya unga?remember life siyo lelema wala starehe siyo kula unga.

    ReplyDelete
  9. taifa linakosa vijana wachapakazi coz ya unga jaman na wasanii ambao ni vioo vya jamii wanaongoza.imagine wanalalama sana wananyonywa sana katika kazi zao of which ni kwel ila je wakipata zaidi si mpaka studio zitakuwa vibanda vya unga?remember life siyo lelema wala starehe siyo kula unga.

    ReplyDelete
  10. Unga ni simu na wauza unga wote Mungu awalani!

    ReplyDelete
  11. Kwa mateja wa kibongo wizi ni kawaida yao

    ReplyDelete
  12. Nibora kuwaomba hata wabunge kuliko kuiba sasa kupoteza muda wake kwaajili ya unga.

    ReplyDelete
  13. Dah yan jamaa anaiba laptop ya laki5 ndo kusema wasanii njaa o ni nn maana juz hapo kapigishwa m2 magot, hawa jamaa wanadhalilika sana

    ReplyDelete
  14. Pole sana try 2 change unapotea maisha ya ki thug sio maisha

    ReplyDelete

Top Post Ad