AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Currently Russia is in a state of turmoil with neighboring Ukraine as a result of a revolution that took place in the country; Russia deems it as an illegal Coupe against a legitimate government. Russia has a lot of interests in Ukraine and hence is not willing to have a Government in power of which it does not approve; as a result Vladimir Putin has sent troops to Ukraine in an effort to tighten its grip on its neighbor. In retaliation the international community particularly the U.S and the E.U has threaten serious consequences to Russia if it proceeds with its current course of action.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
sure, tb joshua alitabiri haya. lakini alisisitiza kuiombea russia.
ReplyDeleteMan of god be blessing!!! I solute you Papa!!! You are real real prophecy people""! We love you All thankyou Jesus!!!
ReplyDeleteMan of God""" mwaaaaaaaaa!
ReplyDeleteWhen we see these...we have to pray for our nation Tanzania. Be blessed Tb Joshua...!
ReplyDeletealisisitiza kuiombea aiombee nani aiombee yy mwenye huo uwezo na mbona hasemi tuiombee nigeria huko ni salama zaidi jamani nijuzeni
ReplyDeleteNONSENSE;MMEMFANYA MTU KUW MUNGU;ATI MAN OF GOD;KWNI NYIYI NI WASHETANI;HAKUNA AJUAE YA KESHO ILA MUNGU MMWENYEZI;WENGI WOTE NI WAONGO WATAKA KUJIFNANISHA NA MUNGU;LAANA YA MWENYEZI MUNGU IWAFIKIE WOTE KMA HUYU MWONGO
ReplyDeleteWewe unapepo naomba ukaombewe.ipo siku Utaenda kuomba msaada yakikufika.
Deleteaombee kwanza machafuko ya boko haramu nchini kwake yaishe, hapo ndo ntamuelewa.....
ReplyDeleteChukua chupa za Moet apo nakuja kulipia! Umemaliza, Boko haramu kwao na mauwaji kila siku anashindwa kuyaombea!? Watu wana muabudu yeye badala ya Mungu! Man of God my foot..
DeleteMaajent Wa kuzimu!!! Mungu awasamehe MANAKE hamjui mtendalo" fire in Jesus name!!!!
DeleteBack to sender! Maajent wa kuzimu mwenyewe, eboo.
DeleteI love you papa mwaaaaa
ReplyDeleteMdau 3:44 AM fire in Jesus name!!!
ReplyDeletekichwa cha habari kinasema kuna vitavinavyoendelea mbona hakiendani na ukweli. hivi tussia kuna vita? mwandishi kwa kuweka chumvi!!
ReplyDelete