TREY SONGZ AIKANA TWEET ALIYOANDIKA NA KUSEMA YEYE NI SHOGA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

March 25, ilisambaa picha ya tweet inayoonesha kuwa wamei-screenshot kutoka kwenye akaunti ya mwimbaji wa R&B, Trey Songz na kuonesha amejitangaza kuwa yeye ni shoga.

“I think it’s time to finally tell my fans. All games and jokes aside…I’m gay.” Ilisomeka picha ya tweet hiyo.

Hata hivyo, mwimbaji huyo aliikana tweet hiyo mapema asubuhi na kuonesha kuchukizwa kwake na kitendo kilichofanywa na watu ambao wanaonekana walitumia teknolojia ya kuchezea picha maarufu kama Photoshop na kuichora tweet hiyo.

Trey Songz alionesha masikitiko yake kwa tweets tatu zilizofuatana.

“The things you people craft up with hatred in your hearts. The things people believe without question, or validity, all baffles me.

“Photoshop and a retweet is all people need to believe, any and everything. I feel bad for the impressionable, no minds of their own.

“If I’m gay then Tupac bringing me a ounce for this session wit Biggie tomorrow. No weapon. #LOVE.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. awe shoga asiwe shoga,yeye arelax afanye mambo yake mengine..

    ReplyDelete
  2. NANA JUNIOR,Ivi wewe unafanya kazi gani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahaha anafanya kazi ya kutembelea blog that all

      Delete
  3. kweli halina kazi muda wote linatembelea blog

    ReplyDelete

Top Post Ad