USIJIFICHE KAMA HUJARIDHIKA MWELEZE MPENZI WAKO AWAJIBIKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia. 

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sentence ya mwisho umenikosha moyo admin, ama kweli mapenzi ni sanaa kila mara unaendelea kujifunza! Nimeipenda sana hiyo

    ReplyDelete
  2. Bao la kwanza me nampenzi wangu linakuwaga kwenye matiti..lapili ndio mchezo mzima huwa naomba mmaa..huwa tunakojozana kama hatuna akili nzuri! Mapenzi nisaa haswaaa, utundu wahitajika ili nyote mfurahie tendo. Hahahaa

    ReplyDelete
  3. Wapo walioachikia kwa ajili ya kusema ukweli.

    ReplyDelete
  4. Wanaume mara nying ndio tunashdwa kuwaridhisha wanawake,inahitaji mbinu kumfikisha kilelen,muhim kumtambua kwanza....but wanawake baadhi c wasaf,so at times inakuwa ngumu kufanya nap vtu ving,chefuchefu...so unazama, unatoka yayuu

    ReplyDelete
  5. inabidi mademu wawe wakweli, wasione aibu mambo yakizamani yeshapita, sababu usipo sema ukweli maanake utaenda tafuta mwingine halafu aibu unamletea mwenza, wengine walivyokuwa wapumbavu wanakwenda kujiridhisha kwa marafiki wa mwenza!!!

    ReplyDelete
  6. Sanaa ya chumvini aah wapi

    ReplyDelete
  7. Sanaa ya chumvini aah wapi

    ReplyDelete

Top Post Ad