UTABIRI WA TB JOSHUA KUHUSU KUPATIKANA KWA NDEGE YA MALAYSIA WAANZA TIMIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama week sasa imepita Muhubiri na Mtabiri mkubwa wa Nchini Nigeria alitabiri kuwa Ndege ya Malaysia iliyopotea muda si mrefu wataipata ikiwa chini ya maji na wataanza kuona mabaki ya ndege yakielea juu ya maji ..Sasa leo habari mpya kuhusu ndege hiyo ni kuwa Huku Nchini Australia yameonekana mabaki ya ndege kwa njia ya Setelite ambayo bado yanafanyiwa uchunguzi kama ni ya ndege hiyo ..Habari kamali soma hapa chini:

"The Malaysian prime minister has confirmed that there is a new lead in the investigation into the missing Malaysia Airlines flight MH370.
Australian search aircraft are investigating two objects spotted by satellite floating in the southern Indian Ocean that could be debris from a Malaysian jetliner missing with 239 people on board, Prime Minister Tony Abbott said on Thursday.

"I can confirm we have a new lead," Malaysian Transport Minister Hishammuddin Hussein told reporters in Kuala Lumpur, where the investigation into the missing airliner is based.

"I am meeting the Australian delegation now," he added. we are waiting for some information."

Another official in Malaysia said investigators were "hopeful but cautious" about the Australian discovery. The satellite images were being reviewed and they were awaiting visual confirmation, the source said.

No confirmed wreckage from Malaysia Airlines Flight MH370 has been found since it vanished from air traffic control screens off Malaysia's east coast early on March 8, less than an hour after taking off from Kuala Lumpur for Beijing.

"New and credible information has come to light in relation to the search for Malaysia Airlines Flight MH370 in the southern Indian Ocean," Abbott told the Australian parliament.

"The Australian Maritime Safety Authority (AMSA) has received information based on satellite imagery of objects possibly related to the search."

"Following specialist analysis of this satellite imagery, two possible objects related to the search have been identified," he said.

Abbott said he had already spoken with his Malaysian counterpart Najib Razak and cautioned that the objects had yet to be identified.

"The task of locating these objects will be extremely difficult and it may turn out they are not related to the search for MH370," Abbott said"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mm jamani so sad mabaki tena mi nilijua itakuwa alive

    ReplyDelete
  2. Kama yeye nabii wa mungu kwann, asingetabir kabla ya kupotea kwa hiyo ndege ? So baada ya kutokea tukio ndo ajifanye kutabir, honest huko sio kutabir, mpiga hela maarufu tu huyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa kaka/dada kwa siku ni mambo mangapi yanayo tokea hapa dunia? kweli ata kama ni wewe we kazi yako itakua kuangalia tu kitu gani kitatokea? kusema ukweli TB Joshua anajitahidi sana tena sana. kwa vita anavopigwa nagekua mtu mwingine angeanguka kiutumishi.

      Delete
  3. kaka hapo juu naona huwa humfuatilii TB Joshua , mara nyingi huwa anaaongea juu ya nini kitatokea wapi, na itakuwa kwa wakati gani ( note , huwa hsemi the real day but huwa anasema ni kati ya kipindi kipi na mengi huwa yanatokea. kila siku kuna mambo mengi yanatokea haya ni yale makubwa ambayo tunaweza kuona kwa news yale ambayo hayatokei kwa news ni mengi sana, Tumuombe Mwenyezi Mungu .

    ReplyDelete
  4. (1kornt 13: 8 -10) upendo haushindwi kamwe, lakin kama kuna zawadi za kutoa unabii zitaondolewa mbali, kama kuna lugha zitakoma,kama kuna ujuzi utaondolewa mbali,kwa maana tuna ujuzi wa sehemu tu, nasi tunato unabii kwa sehemu tu, lakini wakati kile kilicho kamili kitakapofika kile kilicho kwa sehem tu kitaondolewa mbali; MUNGU alikua anatumia roho yake takatifu kusema kupitia watu kabla bible haijakamilika ila, sio ss hv (2 thmtheo 3:16)

    ReplyDelete
  5. Hana lolote huyo kitu kilichodhaniwa mabaki y ndege kumbe ni meli y kubeba magari

    ReplyDelete
  6. Sasa tumuite mtabiri ka alivyokua sheikh yahya hussein au mchungaji anaeombea watu na kuponya,binadam bado kujifananisha na mungu tu,zama hizi hakuna nabii.full stop.

    ReplyDelete
  7. Haha haha haha

    ReplyDelete

Top Post Ad