UTABIRI WA TB JOSHUA WATIMIA-NI KWELI AIR MALAYSIA ILIANGUKA INDIAN OCEAN NA HAKUNA ALIYE PONA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya ndege ya Air Malaysia kupotea Mtabiri TB Joshua Alisema Kuwa Ndege hiyo itakuwa imeanguka Kwenye Bahari ya Hindi na Hakuna Aliyepona ,,,Utabiri huo kwa wengi ulichukuliwa kama mzaha lakini leo imedhihirika tena kwa mara nyingine kuwa utabiri wake ni wa Kweli , kwani imethibitika kuwa ndege hiyo ilianguka kwenye bahari hiyo na hakuna aliye pona...
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu yoyote timamu alijua iPo baharinr ila jinsi ya Ku prove tafuta miili .

    ReplyDelete
  2. hata mimi nilijua hivyohivyo,,nashangaa wakijua mtu kaiteka kaiweka nyumbani kwake au..kama matahila.ndo maana wanatapeloiwa hivyohivyo kwa utahira!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shosti umeiona????ipo huku huku shost post yake inasema mashoga wameongezeaka bo go nenda kajionee shogaaaaa ni shida usije kukuta na mumeo yupo kwenye list

      Delete
  3. utabiri my ass,mbonabado haijapatikana,useless preachers trying to make a name na vifo za wengine mchawi labda

    ReplyDelete
  4. umenichekeksha eti usikute mume wangu yupo,,nilishaiyona hii blog ni free speech bila chenga,,

    ReplyDelete
  5. We nenda uko wasoma kwanza kweye tv na kuangalia alafu wajitia umetabir

    ReplyDelete
  6. huyu nae si freemason, bado hamjamjua tu, n a kupotea kwa ndege, vita na matukio ya majanga ndo wao wanapanga kabla ya tukio so ataachaje kujua wakati na yeye ni mmoja wapo lazima ajue, sio utabiri wa ushuzi

    ReplyDelete
  7. Mimi niliwambia wakabisha.

    ReplyDelete
  8. WOTE WAONGO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. Kheee mnazungumzia nn hivi!?

    ReplyDelete
  10. Tunazungumzia matako yako meusi.

    ReplyDelete
  11. Hahahaha u made my day eti tunazungumzia matako yako meusi.sasa kwani hajasoma hapo juu.

    ReplyDelete
  12. Kweli matako yake meusi ndiyo yanayoongelewa. hasomi hata heading.

    ReplyDelete
  13. Wajinga ndio waliwao.
    Mtu yeyote mwenye akili hata kidogo tu anajua kuwa ndege isipoonekana baada ya muda iliyotazamiwa kutua kupita lazima itakuwa imeanguka.
    Kwa jiografia ya kule Malaysia na ilikokuwa ikienda lazima iwe imeanguka baharini. Suala ni wapi hasa baharini.. Na ukizingatia muda ni wazi lazima wote wawe wamekufa hata kamailipoanguka kulikuwa na majeruhi.

    Wajinga endeeleeni kutapeliwa. Yesu ni Mungu lakini kwa baadhi ya watu Yesu ni biashara ndio maana kuna watu mabilionea hivi sasa simply kwa utumia jina la Yesu.

    ReplyDelete

Top Post Ad