VIJANA WAKIANDA NYAMA YA MBWA ILI KUICHOMA NA KUIUZA MISHAKIKI ILE YA FASTER FASTER KWENYE VITUO VYA MABASI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani Wadau Embu kuweni makini na Mishikaki ya Huko barabarani hasa vituo vya Stand ..Huwa vijana inasemekana walikuwa wakimchuna mbwa kwa ajili ya kuandaa mishikaki ya kuuza huko barabarani.....Duuh Mitamu hiyo ...lol
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. stupid hao tena wanaizaya

    ReplyDelete
  2. lol...mbona tunakula vingi....washenzi kabisa haoooo

    ReplyDelete
  3. Na hiyo bahari isije ikawa mishikaki ya cocobeach

    ReplyDelete
  4. mmmmmm zambi kubwa sana, tuepuken kula nyama usiyoiamin jaman hii ni hatar

    ReplyDelete
  5. Kudadadadeki wapumbavu xna tena amtafanikiwa kama mnatafuta hela ki alamu ivo n vp kutulisha mishkaki ya mbwa.

    ReplyDelete
  6. ni noma jamani mtuonee huruma

    ReplyDelete
  7. Hataree kwelkwel

    ReplyDelete
  8. Hataree kwelkwel

    ReplyDelete
  9. Kambwa kenyewe kalikuwa kadogo

    ReplyDelete
  10. Tamu sana mbona tumeshawauzia wengi tu kwa wale mnaosafiri kwenda mwanza mnakula sana hapa singida karibu na mzani.mnapenda na pilipili sasa shida iko wapi jamani na sisi tunatafuta pesa kama nyie.mtawala sana

    ReplyDelete
  11. Je uliwakuta wapi? Na ulichukua atua gani zidi yao? Tunaomba jibu mdau

    ReplyDelete
  12. iringa kuna bahari?. hiyo kigamboni wandugu.

    ReplyDelete
  13. bora usingesema sasa hivi nitakuwa nainunua balaaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  14. hahah.... Sili tena mshikaki... Nikiwa safarini kutoka dar na kuelekea musoma

    ReplyDelete
  15. hmmm haya mambo ya mula kula hovyo hmmm mwishowe unakula visivyoliwa, shughuli kweli kweli. hasa haya mambo ya nyama, ni ya kuangalia sana manake binadamu zimepinda kweli wengine

    ReplyDelete

Top Post Ad