VITUO VYA TELEVISION VYA TANZANIA VINAKOSA UBUNIFU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sijui ni kutokuwa na ubunifu wa vipindi au ni Uvivu, nakereka sana na hizi chaneli zetu kuonesha chaneli za nje mfano
tbc_cctv
itv_bbc, aljazeera
star tv_dw
chanel ten_sky news
na wakati hizo chanel zote tunazipata kwenye ving'amuzi hususan dstv muwaige wenzenu wa kenya hawaonyeshi hayo machanel mnazidi tu kuwapa promo tengenezen vipindi vyenu kuwenu wabunifu mnapoteza airtime bure tu
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa Mara ya kwanza nimenotice point kwenye blog ya udaku! Kwa hili mmeongea#

    ReplyDelete
  2. Haswaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Hata wao hawapendi tatizo gharama

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kuma bolo unapenda kutumia hilo jina la huyo kaka meddy kitendawil c ameshakufa?

      Delete
  4. tena watukome,na american next top model
    kama channel 1 ndo mfyuuuu,lakini napenda siri ya mtungi.shuga na martin..bora watuwekee porno movie za mastaa wetu.kama kina aunt,wema diamond.kajala na jb..wakitiana ndo itakuwa lamaana.

    ReplyDelete
  5. Ni kweli huyu jamaa itakua kwao wako vizur, dstv na maisha ya watanzania ni 1% ndo wanamudu huduma hiyo

    ReplyDelete
  6. Huyu nana atafutwa apimwe akili. Sinawahi kuona comment yake ya maaana kila blog

    ReplyDelete
  7. Nana comments zako hazina IQ, think capacity yako ni ndogo sana, rudi shule

    ReplyDelete
  8. Kweli wanakera sana

    ReplyDelete

Top Post Ad