WATANZANIA WANNE WAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA JOMO KENYATTA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Watanzania wanne (mwanaume mmoja na wanawake watatu) wamekamatwa na kilo 2.2 za heroin kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA). Watanzania hao waliingia nchini Kenya kupitia Namanga na walikuwa njiani kuelekea Hong Kong.

"Tumewakamata Watanzania wanne leo (jana) JKIA. Tumewaweka chini ya uangalizi na tayari wameshatoa vidonge 186 ambavyo tumevifanyia uchunguzi na kudhibitisha kuwa ni heroin," Ngisa aliliambia Shirika la Habari la Uchina kwa simu. Ameongeza kuwa watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani leo Ijumaa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa watz hakomi sasa bora muwale tigo tu kwasababu washanyongwa sana washakufa sana tigo inaweza kuwa dawa

    ReplyDelete
  2. We tigo Si mtandao wa siku? Dawa ya kuwakomesha Ni kuwanyima dhamana Na ikithibitka kifungo kirefu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Siyo mtandao maanake wafirwe

      Delete
  3. Mdau hapo umenena wafungwe maisha jela

    ReplyDelete
  4. kuma mamake mpka kijulikane. kama hakirleweki!

    ReplyDelete
  5. Admin umelala..hz post za matusi mbona unaziruhusu.
    delete kabisa;

    ReplyDelete
  6. Kifungo cha maisha, ugali chumvi kwa sana ndo dawa

    ReplyDelete
  7. Waacheni huru wanatafuta maisha, tz lyfe ngumu sana

    ReplyDelete
  8. Asilimia 100 Wote Tunatafuta Maisha Kwanjia Si Halali Ivyo Wasamehewe.

    ReplyDelete
  9. We muuza unga nin?wasamehewe kwa lip?kuma we

    ReplyDelete
  10. Acha matusi we mtoto kwenu, kwenu huna wakubwa nn pmbf weeee

    ReplyDelete
  11. We januu mcongo kuma kweli kwa taarifa yako tumeshajua ww ndo umewapa kazi hao vijana na unga ni wa kiboko mbwa nyie

    ReplyDelete
  12. Apna mim naona dawa yao n ivi yan kwa yeyote atae kamatwa na madawa azabu yke amezeshwe nyoka mzma mzma maybe wataacha ako kamchezo.

    ReplyDelete
  13. Nyie vip kwa mwanaume kuwa shoga na mwanamke kuwa malaya bora kipi acha wauze bwana ajali kazini au mnataka wawe majambazi wawauwe ndio mfurahi ww unae ongelea kuliwa tgo inaelekea ndio mchezo wako waacheni bwana wote ni wahangaikaji life is soo tuff

    ReplyDelete

Top Post Ad