WEMA AMHARIBIA PASTOR MYAMBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu mwenye jina kubwa nchini, Wema Sepetu hivi karibuni alimuharibia siku Emanuel Myamba maarufu kama Pastor Muyamba, kwa kushindwa kufika kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na chuo chake cha sanaa ‘TFTC’ akiwa kama mgeni rasmi.

Mtoa habari wetu ndani ya taasisi hiyo aliliambia gazeti hili kuwa, Wema aliombwa na kukubali kuhudhuria shughuli hiyo, lakini alipopigiwa simu dakika za mwisho aliwaambia kwamba atashindwa kufika kwa kuwa amefiwa na shangazi yake udhuru ambao baadaye ulibainika kuwa haukuwa wa kweli.

Alisema kutokana na kutofika kwa staa huyo, ambaye hata hivyo mwaliko wake ulitokana na shinikizo la wanafunzi wa chuo hicho, walilazimika kuwaomba radhi wageni wengine, wakiwemo waandishi wa habari.

Mmoja wa watu wa karibu na Wema aliliambia gazeti hili kuwa muigizaji huyo hajawahi kupatwa na msiba siku za hivi karibuni, kwani mara zote amekuwa akiwaeleza kila linapotokea jambo zito kama hilo.

Mtu huyo alisema katika ratiba ya siku hiyo, walikuwa waende kwenye tukio moja la starehe na halikuwa limebadilika.

juzi alipoulizwa Pastor Myamba alikiri Wema kutofika kwenye hafla hiyo kitendo alichosema kimemsikitisha kwani walitoa mwaliko kwake kutokana na heshima aliyonayo.

“Nimemshangaa sana, lakini mbona mwenzake Jokate alikuja, ni kwa sababu anajitambua na ni professional,” aliema Myamba.
GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kuna waigizaji wanaonekana na wauza sura wanajionyesha!

    ReplyDelete
  2. Na nyi nyi hamna akil . yaan wema awe mgeni rasm? Mmekosa wagen rasm? Akina riyama Dk chen dotnata mnachukua changu wema. Mkome

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio kukosa mgeni rasm, watu wanaangali jina bibi we nyota inayowaka anajua akimwalika wema sepetu watu wanaomkubali kila mtu atataka afike amuone live, ukisema rihama hakuna mtu anaehangaika japokuwa ni msanii anaekubalika tz

      Delete
    2. Nyota ipi inang,aa??? Ebu tema mate chini haraka Yani wema awe mgeni rasmi??? Kwa kipi haswa!! Jesus!!! Hakuna watu Wa maana?? Kama jb. Rich, Vick kamata na Halima mdee! Ebu acheni kutumiza Mbavu zetu!!!!!!! Wema mgeni rasmi"

      Delete
  3. Mwaliko ? Ungempa ungempa na usafiri

    ReplyDelete
  4. Jamani, alikatazwa na baby wake.

    ReplyDelete
  5. Huyo kuma hana jipya.

    ReplyDelete
  6. mi sielewi inakuwaje MTU anampa ugeni rasm wema

    ReplyDelete
  7. Ndio maana tuzo za Oscar zinaenda kenya hapa kwetu bado sana tutasubiri sana.wasanii hawafanyi sanaa bali wanafanya sanaaaaaaangono.mnaleta pozi wakati hata hamna mchango wowote kwa jamii zenu.kila mtu star ndio maana utasikia leo huyu kaiba bwana wa yule na yule kabambwa mara gest,mara na kibabu.tuendelee kuangalia wenzetu sisi bado

    ReplyDelete
  8. Uyo wema hajafanya vizuri kama uyeye angelifanyiwa hivyo angerizika

    ReplyDelete
  9. Matako ya kubandika anajiona qt ngoja yaporomoke ka mikojackson ndo atafurahi na hv anayafirisha ndo kabisa na huyo dimond wake anapenda mapenz msenge yule na angekuwa na mboo sijui ingekuaje mboo enyewe ka gumba ndo maana wanafirana sana mbele inapwaya kuma dili mboo ndogo

    ReplyDelete
  10. Matusi ishu kosoa kitu au tengeneza kitu.

    ReplyDelete
  11. Alialikwa kuonyesha mapaja na matiti?

    ReplyDelete
  12. Uwiiiii jamani Mdau!! Eeh kuonyesha mapaja na matiti!!'n uwiiiiiiiiiiiii Eeh Mungu umemchukua KANUMBA ameondoka na USANII NA HELA!!! Usanii Tz kwishine!!! Wamebaki kuwa Omba Omba! Hadi wazaliwe wengine!

    ReplyDelete

Top Post Ad