WEMA, AUNT WALA KICHAPO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Na Imelda Mtema na Gladness Mallya
KIMEWAKA! Habari zilizothibitishwa zinaeleza kuwa, sura mbili za mauzo kwenye sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na Aunt Ezekiel Grayson wanadaiwa kula kichapo kutoka kwa msanii mwenzao, Adam Kuambiana, Amani limeinyaka.

Tukio hilo lililoshuhudiwa na ‘shushushu’ wetu lilijiri mchana kweupe maeneo ya Mikocheni, Dar, hivi karibuni baada ya kuibuka timbwili lenye ujazo wa kilo kadhaa baina ya mastaa hao.

ALIANZA WEMA
Kwa mujibu wa chanzo, Wema ndiye aliyeanza kummwagia Kuambiana maneno ya shombo akimwambia kuwa ahakikishe siku hiyo haipiti bila kukata kucha za miguuni kwani ni ndefu na zinatisha.
“Mwanzoni ilikuwa kama utani tu. Wema alimwambia Kuambiana akate kucha, tena itabidi atumie mkasi wa kukatia michongoma maana kwa wembe hazikatiki.

“Pia Wema alimwambia yeye hawezi kumwacha mpenzi wake na kucha ndefu kama hizo za Kuambiana,” kilisema chanzo chetu.
Ilizidi kudaiwa kwamba wakati Wema akiendelea ‘kumpaka’ Kuambiana, Aunt aliyekuwa amejilaza chini alidakia na kusikika akisema kuwa ni kweli msanii huyo mwenye uwezo wa juu katika fani anatakiwa kukata kucha hizo huku akizungumza maneno ya shombo kwa jamaa huyo.

HASIRA
“Baada ya kuona imekuwa ‘too much’, Kuambiana alipandwa na hasira, akanyanyuka kwenye kochi na kumfuata Wema kwa lengo la kumpa kipigo,” kilisema chanzo hicho.


MARTIN KADINDA AMUOKOA
Habari zilidai kwamba, Kuambiana alipomfikia Wema alianza kumpiga vibao hadi meneja wake, Martin Kadinda akaingilia kati kumuokoa mwanadada huyo ambaye pia ni meneja wake.

KIBAO CHAMGEUKIA AUNT
Chanzo kilieleza kwamba baada ya kuachana na Wema, msaanii huyo ambaye pia ni ‘dairekta’ wa sinema mbalimbali za Bongo alimfuata Aunt na kuanza kumlamba makofi ya kutosha.
Tukio hilo lilizua tafrani na kuwafanya wasanii wengine waliokuwa eneo hilo wakimbie na kushindwa kuwatetea Aunt na Wema kwa kuogopa kugeuziwa kibao.
KUAMBIANA ANASEMAJE?
Baada ya kuinyaka ishu hiyo, mapaparazi wetu walimtafuta Kuambiana na kumuuliza kulikoni kugeuka bondia na kuwapiga warembo hao ambapo alikiri kutokea kwa ishu huyo.
Alisema kuwa, Wema na Aunt ni kama wadogo zake, tena yeye kama dairekta wao walipaswa kumheshimu na siyo kumvunjia heshima.

“Akina Wema ni wadogo zangu, wanahitaji kuniheshimu na mimi ndiye mwongozaji wa filamu yao, kwa nini wanikosee heshima? Hata kama wamekasirika lakini nimewashikisha adabu,” alisema Kuambiana kwa ile sauti yake nzito.

WEMA & AUNT
Kwa upande wao, walipoulizwa Aunt na Wema kuhusiana na kichapo walichopewa walisema walishamzoea jamaa huyo, lakini kwa alilolifanya la kuwapiga makofi  aliwakwaza kwa sababu hata kama ni mwongozaji wa filamu yao lakini alikuwa pale kwa ajili yao.

HISTORIA YA KUAMBIANA
Ukiachana na tuki hilo, Kuambiana anadaiwa kuwa na mkono mwepesi hasa anapokuwa ‘lokesheni’ ambapo mwaka jana, aliwahi kumtia mikononi staa mwingine wa filamu za Bongo, Rose Ndauka walipokuwa wakirekodi filamu visiwani Zanzibar.

Siku ya tukio hilo, Kuambiana alikuwa akidairekti Filamu ya Distress in Zanzibar. Alimshutumu Rose kuvaa mavazi tofauti na maagizo yake, katika kujibishana akamuwasha makofi.

HATA MITAANI!
Juni, mwaka jana, Kuambiana alimshushia kipigo Fadhili Joseph ambaye alimdai fedha za bia alizokunywa kwenye baa yake, Sinza, Dar es Salaam.
Kuambiana aliposhindwa kulipa aliacha laptop (kompyuta mpakato), siku iliyofuata alirudi na kushusha kichapo huku akiitaka laptop hiyo.

Kuambiana alikamatwa na Polisi Kawe, Dar kwa faili la malalamiko KW/RB/5761/2012 SHAMBULIO. Kesi hiyo ikahamishiwa Kituo cha Polisi Kijitonyama ‘Mabatini’ kwa vile ndiyo kituo cha karibu na eneo la tukio.

MADAIREKTA WAKOJE?
Mbali na Kuambiana, staa mwingine ambaye pia ni dairekta wa muvi za Bongo, Issa Musa ‘Cloud’ naye aliwahi kutoa kipigo cha bakora kwa msanii Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kosa la kuchelewa kufika sehemu ya kurekodia filamu.

GPL
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ahsantee kaka KUAMBIANA kwa kunidisplinia hizi nguchiro pori

    ReplyDelete
  2. KUAMBIANA unatumia biaga gani vile??!!

    ReplyDelete
  3. nimekupenda bureeeeeeeeee kuambiana

    ReplyDelete
  4. kandinda ni bodigadi wa wema? kaka ungemchapa na uyo kadinda sijui midinda

    ReplyDelete
  5. safii director! kazi nzuri umefanya

    ReplyDelete
  6. charazaaaaaaaaaaaaa...KUAMBIANAaaaaaaa! big job

    ReplyDelete
  7. kwiii kwiii kwii hii stori nimeipenda natamani ningeshuudia madam tyme anatembezewa mambata

    ReplyDelete
  8. mwaaaa mwaaa mwaaa mwaa...mabusuuuu mazito kwako kuambiana

    ReplyDelete
  9. INTOPIC: jaman nimeona my ass shoes ya thic week!! hivi uyu wema timamu kweli..kumbe ndo maana kipindi chake kimekosa sponser...nani wa kusponce u*********** maza coca ziro!!!!
    KUAMBIANA......CHARAZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  10. KUAMBIANA size ya kiatu plz...nipo DUBAI

    ReplyDelete
  11. kazi nzuri sanaaa kweli na hyu kadindisha ungemtwanga nae

    ReplyDelete
  12. UNAVAA CHUPI SAIZI GANI KUAMBIANA

    ReplyDelete
  13. hahhahahhahahhahhahha mwee masista duu wamechapwa but pia kucha ndefu ni uchafu

    ReplyDelete
  14. KUCHA REFU NI UCHAFU SAWA..LAKINI KUNA NJIA YA KUMFIKISHIA MTU!!! WALICHOKIFANYA SI UUNGWANA ACHA WACHARAZWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  15. Kuambiana sikufagilii, hata kidogo maana kupigana kumepitwa na wakati, umefaidika na nini ushamba mtupu dume zima ukafuge kucha kama sio ushamba ni nini? inaonyesha jinsi gani mlivyo hamjaliani wewe na mwanadani wako maana uangalizi wa kucha na masikio ni kazi ya mwandani wako. japo simshabikii wema lakini kasema ukweli hawezi kumwacha waubani wake na mikucha hivyo, ungejifunza kutokana na walichokuwa wakiongea na si kuwapiga maana walikua wanakuambia ukweli ulitaka nani akuambie? na nyie mnaoshabikia upumbavu huo HAMJUI MAANA, NIMEWAFAFANULIA.

    ReplyDelete
  16. Kuambiana kuambiana naona umeamua kuambiana nao safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, wakikuletea movie nyingine tena charaza kidogo mpaka akili ziwakae sawa.

    ReplyDelete
  17. kuambiana mshamba sana,kujifanya kasoma akili hana,sio mstaarabu kabisa kutwa kutwangana na mwandani wake.PUMBAFUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  18. Babu we wasanii wamezidi dharau kibao tatizo wanataka kutombwa na madirector wote wengine awataki kucha ndefu dem wake kazipenda sai nyege za nini huyo aunt kutwa yuko dar anamjua huyo choko wake wa dubai kajisafishaje afu eti kaolewa

    ReplyDelete
  19. Pa1 na ubondi ila ujumbe kaupata!

    ReplyDelete
  20. Kuambiana ni mchafu kweli hata nguo zake za ndani chafu. Mxiuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  21. Kakutomba ulizionaje kama chafu

    ReplyDelete
  22. safi sana kaka,kwanini hutumia mkanda Wa surual?ungewacharaza za matakoni mamae zao hao, teh teh teh teheeeeeee

    ReplyDelete
  23. Kupiga mwanamke na hata kujibizana na mwanamke ni USENGE. Hicho ni kiumbe dhaifu, kama wewe una mkono kweli jaribu kuunyoosha kwa DUME lolote uone kama hujaokota meno. MAHANITHI woote mnaomshabikia huyu jamaa.

    ReplyDelete
  24. Sasa hapo unajiona ww dume eeeh kupiga mwanamke usenge mtupu nibgekuwa me ningekufugulia case manina ww dume zima unajisifu kupiga wanawake kapigane na wanaume wezio uone kama aujawa kibogoyo shenziiiiiiiiiiiiiiii msonyo

    ReplyDelete
  25. Mwanaume yeyote anayejitambua hawezi kumnyooshea mkono mwanamke. Mwanaume mwenye hekima na busara hasuluhishi jambo kwa kupigana na hasira. Bali mwanaume mpumbavu huweka ugomvi kuwa suluhu ya natatizo yake. Na kamwe nyumba yake haiwezi kuwa na amani, na endapo ataona mke anadumu ktk nyumba yake ni yule asiyeijua nafasi yake kama mwanamke. Pole sana ewe unayejiita director K.

    ReplyDelete
  26. Na vitabu vinaniambia wanaume tunapaswa kuishi kwa maarifa na wanawake.

    ReplyDelete
  27. Dah!!guys uv made ma day evn though ma boss jas pssd mi off bt it ws good comng to read this lol....

    ReplyDelete
  28. kama huyo vuzi la mbuzi ni mchafukoge asiambiwe. huyo hajaingiziwa majiti mkunduni cku nyingi ipo siku atakosea step wamtombe mpaka baba yake.

    ReplyDelete
  29. Wema kafulia karudi location kuact movie chezea clement wewe

    ReplyDelete
  30. Hahahaha kaz kwel kwel
    Watu hasira zimewajaa

    ReplyDelete

Top Post Ad