WEMA BILA MAKE UP HATAREE SANA , EMBU MWONE HAPA LIVE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bila make-up wala ma-wigi ndio
wanakuwa na muonekano halisi. Sasa
na hapa tuseme kapendeza au

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

55 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwiiiiiiiii like a KOKOOOOO!!! Jamani mbayaaaaaa! Kila Kitu kwake Ni BANDIA!!!

    ReplyDelete
  2. Dwah...Sura Mboovuuu ndo Maana wanaendana na DadaMond

    ReplyDelete
  3. Kwikwikwikwi mcmfanyie ivo dada angu mbna kapendza tu

    ReplyDelete
  4. Kama analia vile

    ReplyDelete
  5. heheheh...watu mnamamboooo...mbona mnamchimba chimba hivooo madam wetuuu...tuachieni madam wetuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. sura mbovu hana lolote hata nipewe yeye na mji wa new york sichukui

      Delete
    2. wa2 mna mambo sana,mnaponda makeup kwa sababu hamna uwezo.pumbavu sana!

      Delete
  6. kama nyamwezi la tabora jiso lake

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wew gala acha kutukana nyamwezi

      Delete
    2. Wee fala sana acha kutukana kabila kubwa

      Delete
  7. na huo mdomo hajaweka kitu chochote

    ReplyDelete
  8. Dah yani hivyo alivyo hata demu wangu mzuri

    ReplyDelete
  9. Jamani sio wema tu,uzuri Wa wadada hao Wa mujini ni make up ,picha wanazorusha instagram ni tofautiiiiii na uhalisia wao.ukiona mtu apaki make up 7/24 Huyo ndio mzuri.

    ReplyDelete
  10. Akiwa hivo ndo poa wataalam wataita kuku wa kienyeji

    ReplyDelete
  11. mmmmmh hvyo vnywele kavimaliza na manywele ya bandia n km vile vivuzi vya mapajani hahahaaaa na domo limetokea km kum.a imetoka kupigwa katerero qwa qwa qwaaaaa

    ReplyDelete
  12. KAMA ANAKUNYA VILE

    ReplyDelete
  13. Dah,kumbe mi mzuri saaaana!jamani watakuwa wamempiga salon bila yy kujijua.

    ReplyDelete
  14. DADA yangu kazeeka! ndiyomana diamond kampenda, coz kuku mzee ndiyomwenye supu

    ReplyDelete
  15. kapendeza sana tu,binadamu watu wa ajabu,tangu wema karudian na diamond maneno mengi sana,mara kazeeka,mara malaya,mmesahau nyie ndio wale wale mliokuwa mnaponda,kuwa diamond hana hadhi ya kuwa na wema,kwa kuwa mtoto wa tandale,wema kavumilia yote hayo,leo diamond kawa star mmegeuka eti wema hafai kuwa na diamond kazeeka,kweli nimeamini ukitaka kufanya yako,weka pamba masikio,maana ukitaka kusikiliza watu,hakuna utakalofanya,sasa hao wanaoponda uwakute hizo sura zao,utakimbia,walioweka hizo makeup na mawigi,walijua sana,kuna tatizo ndio maana zinauzwa bei kubwa na tunanunua,wateja ndio sisi,hivyo muacheni apumzike,maneno yamekuwa mengi sana.

    ReplyDelete
  16. Maskini wema,mti wenye matunda,usijali dada

    ReplyDelete
  17. Limekuchoma eee!

    ReplyDelete
  18. wema anakimbiza haipiti wk bila kumuandika safi sana

    ReplyDelete
  19. Sio lazima kila picha atoke vizur kubalini mkatae wema ni mzur sana na mnalijua hilo na mnamkubali kimoyomoyo nyoko zenu wote

    ReplyDelete
    Replies
    1. kula tano mdau

      Delete
    2. yab ni shida. wa2 wana vijiba vya roho. eti wanamuita kinyonyoke c alkua amenyoa saiv nywele zinaota. me i love her so much

      Delete
  20. hahahaaaaaa uzur hpo ukwap sema madada wa town wanajua kujiweka tu weeee hpo m sihongi hta guta hamna ktu ni jina nyox zake

    ReplyDelete
  21. uwiiiiii masikio makubwaaaaa kweli uzuri wake wa dukani

    ReplyDelete
  22. Kama uzuri wake wa dukan inakuhusu nini embu mwacheni dada wa wa2 mimi penda sana wewe wema

    ReplyDelete
  23. Hivi mbona mnazusha kwani yeye anajificha? Hii picha si kapiga mwenyewe! Angalia in my shoes episode 15 au 16.

    ReplyDelete
  24. anythng she does 2 me she iz stl beautiful

    ReplyDelete
  25. Uwiiiiii kumbe kinyonyoki awashukuru wazungu kuleta mawigi

    ReplyDelete
  26. jamani mwacheni wema mbona wazungu ni weupe lakini wanatumia make up?

    ReplyDelete
  27. sio kwamba ajapaka make up hapo..ila ajashonea weaving..lakini mzuri kama sokwe...pendeza sana ...

    ReplyDelete
  28. JAMAN C WAKAKA WALA WADADA CKU HZ MKOROGO, WANGEJUA NGOZ NZUR N YAKUZALIWA NAYO UKISHAICHAKACHUA BAC TENA.

    ReplyDelete
  29. Pumzika kwa amani

    ReplyDelete
  30. Hivi ww admn kila siku wema Wema..
    huna mabo mengine ya Ku post? UNABOA
    .

    ReplyDelete
  31. It's true my brth, wema R I P kwa kubomoka, ni kiumbe cha ajabu sana huyu bint

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nikimuonaga lulu kanumba anavyouangaikia USO wake yani utachekaaaa,hivi kwanini wanawake hatujiamini?mimake up,micamera 360 what for?stupid,

      Delete
    2. Mzuri ni lupita ngonyo,apaki make up tangu azaliwE,wengine wooteee fekeroooo

      Delete
  32. bayaaaaaaaaaa kama Mimi tu name hapo likitoka kuamka hata mi mzuri

    ReplyDelete
  33. HAPO ATAKUWA ANAKUNYA!!!!

    ReplyDelete
  34. Kweli sokwe du! Miss domo na mr domo a.k.a diamond imagin toto litakalo toka apo

    ReplyDelete
  35. Sipati picha mtoto wa wema na diamond atakuaje kiruuu tatizo wamedidi misifa ya kijinga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Penny relax.ur still on the que,wema akitoka we rudi,mshazoea share mboo.

      Delete
  36. Af acheni kumtukana mama angu mdogo nyinyi vp lakn misura ynu mmeiona kama mkundu wa bata vle

    ReplyDelete
  37. Replies
    1. Wote mnaowasema wenzenu wabaya harakisheni kumuomba Mwenyezi Mungu msamaha kabla siku zenu za mwisho hazijafika, kwa maana hakuna aliyejiumba wote tumejikuta tupo hivi tulivyo na hatuna uwezo wa kujirebisha.

      Wewe ukimuona mbaya wengine wanamuona mzuri

      Delete
  38. yaani hapa wapo copyright na bi mkubwa wake. make up na wiving oyooooooo!!!!!!!! kwa kuhifadhi wadad wa kibongo

    ReplyDelete
  39. we udaku special, udaku wako upo kwa wema tu au anakuhonga kama anavyofanya kwenye magazeti? alafu hapa nahisi alipiga picha alipotoka kupigana na dia wake diamond

    ReplyDelete
  40. tusi judge uzuri wa mtu kwa kuangalia picha, tena picha yenyewe moja tu..inawezekana hiyo picha haikuchukuliwa vizuri,. ama, ilichukuliwa akiwa na njaa, ama akiwa na majonzi fulani.. ila kama mtu ni mzuri ukweli unabaki pale pale hata kama picha itatoa au kutolewa taswira isiyo halisi...

    ReplyDelete
  41. Duh ka uchi wa mzee

    ReplyDelete

Top Post Ad