WEMA SEPETU AWEKA RECORD YA KIPEKEE MTANDAO WA INSTAGRAM TANZANIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Picha ya Diamond Platnumz inayomuonesha akiwa amelala na huku shavuni kukiwa na lipstick za mwanamke iliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Wema Sepetu, imevunja rekodi ya mtandao huo kwa Tanzania kwakuwa na comments nyingi zaidi.
Hadi sasa picha hiyo ina comments 1,786 na hivyo kuizidi picha nyingine aliyoiweka mwezi uliopita ambayo ndio ilikuwa picha ya kwanza inayomuonesha Wema akiwa na Diamond tangu warudiane. Picha hiyo ilipata comments 1,601.

Wakati huo huo Diamond ndiye staa wa Afrika Mashariki mwenye followers wengi zaidi kwenye Instagram (ukimtoa Lupita Nyong’o mwenye followers 930,744, au wengine wanaoishi diaspora). Hadi sasa staa huyo ana followers 95,900+ akifuatiwa na mpenzi wake Wema mwenye followers 82,870+.
Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbon kavaa helen ya sepetu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!au fashion

    ReplyDelete
    Replies
    1. ni mapenzi tuu, sio vibaya kuvaliana !!! Poa

      Delete
  2. Hahahah watu mnachunguza nilikuwa sijaona hereni

    ReplyDelete
  3. Me hata lipstick sikuona sasa sijui imetoka kwa madam au jamaa karud nayo

    ReplyDelete
  4. Huyu mtoto domo na wema wote mabwabwa nyambafuuuuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtakoma na wivu wemu. Kuwa na mdomo mkubwa Mungu ndo kaumba...hebu ww anony umba mtu wako...
      Kumbe anapendeza hivyo akiwa kalala... Wema hongera mama...

      Delete
    2. mbona unachukia wenzako wakipendana kwa dhati!?? tafuta wa kwako atakayekupenda kwa dhati, utakufa kwa wivu kijana

      Delete
  5. kwel madam we noma'mtu kalala we ukanyatia kumpga pcha,mapenz bwana

    ReplyDelete
  6. Jamani wema unamuumiza penny nasikia Yuko tegeta anasubilia uachike atie timu,asalaleeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. we!!!!kwa nini sasa?.haya maisha saa nyengine sio fair kha...yaani kaenda tegeta kujificha.....au anaumwa umental.,usiombee yakakukuta uwezi fanya chochote.

      Delete
  7. Nikweli ya hayakuhusu.

    ReplyDelete
  8. Domo kubwa kalala fooo! akiamka domo kunuka balaaa!

    ReplyDelete
  9. Hayo cyo mapenzi bali niusgenzi

    ReplyDelete
  10. kababy boy kakilala kazuri hako kweli diamond mzuri bhana wema+diamond forever

    ReplyDelete

Top Post Ad