WEUSI HUU NI WAKATI WA KUWA BEGA KWA BEGA NA LORD EYEZ NA KUMSAIDIA NA SI KUTANGAZA KUMFUKUZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Baada ya Weusi Kutangaza kumwondoa Lord Eyez kwenye kundi la Weusi kwa sababu ya tuhuma za uwizi wa laptop huko Arusha watu wengi walijitokeza kwenye instagram kuponda uamuzi huo baadhi ya message ni hizi hapa chini kutoka Instagram


stigoxz

Cjapend uamuzi wenu eyes anahtaji Masada na co kutengw km mlivofanya cjapenda nlikukubali sn kk tangu hujatka bt now umenikwaza kwani laptop bei gani mshindwe kumaliza kesi unesheni unit yenu tuone km kweli mnacare fikirien mara2 situation ambyo anafeel right now eyes mkimsadia ntaona utu wenu bt now hate u all weusi

gdwalize
Naona bora Peke yangu maana rafiki wakweli c mjuii a got 2 many fek people my people!!!!!??

rudolfrodney
Anaweza akawa amekiuka masharti ya kampun but sii fair kumtenga mchukulieni kama ndugu kwa kumpa ushauri na kama kuna ishu nyingine ambazo anazifanya aziko sawa mwekeni kwenye mstari itakuwa poa zaidi @joh_makini #teamweusi

bintiandengenye
@joh_makini msaidieni plssss mungu atawabariki mno

dorricy
we love him and ana kipaji why msimsaidie aachane na madawa mbona ray c kaweza! .. plz @joh_makini @gnakowarawara msaidieni lord

denismushi
Wengi wanadhani mmemfukuza lord kwa sababu ya kilichotokeaa. Ila naamin weusi hamjafanya hivyo,n kipind kigumu kwa jamaa now ila hata kama hamtakuwaa masemaji kwa kilichomtokeaa lord kama alivyosema Niki kwenye media, ni sawa ila pls jamaa anaitaji support yenu hasa ktk hichi kipindi kigumu alichokuwa nacho.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawa weusi wote bange inawasumbua. Hata maamuzi yao lazima ya kibange bange yasiyo na kutafakari

    ReplyDelete
  2. Kumbe weusi ni wasenge ivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. we kuma unapenda kutukana,drugs tamu sana ila mwisho wake ndo ule,kuma mae wallahi,fuck hell

      Delete
  3. Wasenge Wote Mnaopinga Maamuzi Ya Kufukuzwa Kwa Lord Eyes Kundini,et Asaidiwe!! Hv Mlitaka Asaidiweje Ilihali Mwenyewe Hajisaidii?Mwaka Jana Aliiba Wakamuacha Kundini Na Ukumbuke Hayo Ni Baadhi Ya Matukio Machache Yaliyolipotiwa Je Na Yale Ambayo Ameyafanya Na Hayakulipotiwa Yapo Mangapi?Bado Mnataka Aachwe Tu Ili Kundi Zima Lionekane Ni La Vibaka?Mbona Nyinyi Mnapokamata Mwizi Wasimu Ya Laki Moja Ya Mchina Mtaani Mnamuua Kwanini Huwa Hamuwasamehi?Lord Eyez Ni Sawa Na vibaka Wengine Tu. Na Hvy Alitakiwa Ashushiwe Kipigo Kitakatifu Tu,HONGERA KIONGOZI WA KUNDI KWA KUTAMBUA THAMANI NA HADHI YA KUNDI NA KULILINDA DHIDI YA KUONEKANA KAMA KUNDI LA VIBAKA,TUNGEKUWA TUNAWAOGOPA.

    ReplyDelete
  4. tatizo la lord ni unga ambao unampelekea kufanya hayo yote akiacha km demu wake ray c mbona atatulia tu na wizi ataacha.

    ReplyDelete
  5. Ongera nick kw uamz mgumu@chachamarwa05@gmail.com

    ReplyDelete
  6. nawapenda sana weusi but mlichofanya sio sawa kuweni na utu simtetei ninachoongelea ni utu kuweni makini na couse load ana wapenzi wengi haijalishi amefanya nn

    ReplyDelete
  7. ila weusi ni wakali sana ila juu ya ishu hii ya lord anahitaji saada malizen kesi arafu mjitahidi apelekwe akapate tiba aache unga ila kumto sio poa na hamjatenda haki msaidie nyie watoto wa kiume hiyo ishu inatakiwa muimalize

    ReplyDelete

Top Post Ad