CHADEMA INAPOTEZA MWELEKEO NA KUFA KIFO CHA MENDE KWA KUKOSA WASHAURI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakika kila mtu na kila kiongozi hasa mwenye mamlaka makubwa ni busara kuwa na WASHAURI ambao watamshauri na kumkosoa pia kabla ama baada ya kufanya maamuzi katika uongozi wake. Hili lipo wazi hata familia yenye baba, mama na watoto, baba anaweza kutafuta mshauri pembeni kuhusu namna ya kuiongoza familia.

Ni muda mrefu huwa najiuliza hili swali, hivi washauri wa Dr. Slaa na Mbowe ni kina nani maana nahc kama hawana ndio maana wanafanya maamuzi yasiyo sahihi kila wakati kwakuwa maamuzi hayo hayajengi wala kuleta maendeleo ndani ya Chadema. Mfano; timua timua za viongozi katika chama, kufanya utalii kwa chopa, kukataa kukaguliwa hesabu, kupanga maandamano yasiyo na tija, kususia vikao halali vya bunge, n.k. 

Haya yote yasingepelekea chadema kufa kifo cha mende kama wangekuwa na washuri wa chama. Wanawapuuza wazee kama Ndessa na Mtei, wanatumia halmashauri za vichwa vyao wenyewe, matokeo yake ndio hayo. Na kama wanao washauri, itakuwa hao wanaowashauri wanawashauri vibaya.

Kwani Mbowe akiwaza jambo lake, anawaita akina Lema, Lissu na wanachama wengine na waandishi wa habari wanaweka mikakati ya kulitekeleza pasipo kupingwa! Lifanikiwe, lisifanikiwe, akiota lingine anafanya vivyo hivyo.
Dr. Slaa nae hivyo hivyo, akiwaza kitu chake, fasta anaita waandishi wa habari na baadhi ya viongozi na wanachama isipokuwa Lema, maana lema wanadharauliana, wanaweka mikakati ya kutekeleza jambo hilo mara moja bila kupingwa!
Hawana team work ndo maana wanaishia kutimuana!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pumbaaaa....umekosa cha kuandika

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kitu gani alichokosea kuandika??.....jibu hoja na sio kutukana. Akili ni nywele na kila mtu ana zake. Mjinga wewe hapo juu.....

      Delete
    2. Sasa wew huon kwamba alicho andika huyo matako mwenzio ni pumba!nyambafu wew kibaraka wa mafisad wahedi..!

      Delete
  2. Kweli ni pumba tena za ulezi,hao ccm mnaowashabikia miaka yote hiyo mwelekeo wao umewapeleka wapi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ndo pumba kweli. Umeambiwa aliye comment anashabikia CCM? Jibu hoja sio kuandika andika tu kama unakunya vile

      Delete
    2. bwege kwl we mwndsh na ccm yko

      Delete
    3. Tena ni mkundu kweli!hii mifisad yenyew haijion kwamba kwa miaka 50 imekuwa ikiwapeleka wa Tz bila mwelekeo?hii ndio mijitu inayohongwa sukari na tshirt tu sasa ni uharo gani aliyo upost?nyambafu.

      Delete
  3. ndio mana hawakufikiria madhara yatakayo tokea bada ya kumshtumu Zitto namakosa yasio yakweli ilimradi tu wasiwe namtu mwenye kuakosowa.

    ReplyDelete
  4. kweli chadema wanawadanganya wananchi hawajui hata maana ya upizani wamekaa kulaghai watu tu kwa ahadi zisizotekelezeka watu hatari kweli tena wana sifa ya ugombanishi wemeazana wao kwa wao katika chama chao sasa wanakuja kuwagombanisha watanzania.jamani tuamke hawa watu wanawaza madaraka tu hawana mawazo na wananchi kama utakua na akili vizuri ya kupambanua matukio yao utalitambua hili na kama unataka kuishi maisha ya ahadi zao subiri uone mwisho wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na mafisadi ccm je wamekupa ahadi gani?

      Delete
  5. Chadema na wanachama wake wote wapumbavu hamuna akili, mutaishia kutandikwa na polisi kila siku

    ReplyDelete
  6. CHADEMA WOTE WASENGE, WALA HAMNA JIPYA NENDENI HUKO HUKO KWENU NA VYAMA VYENU VYA UBAGUZI,AU NENDENI MKAMUUNGE MKONO KAGAME KIONGOZI WA WATUSI MBWA SWAIN WAKUBWA HAMNA LENU KTK NCHI YA TANGANYIKA AU ZANZIBAR, KWANI HATUTAKI WASENGE KAMA NYIE KINA TUNDU LA MKUNDU LISSU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila tunataka mafisadi ccm watutawale maisha na kuneemeka na rasirimal zetu tukiendelea kuwabarik watufilisi na kuwapa raha za kidunia ccm juuuuu!

      Delete
  7. Tunastuka mwisho wa mchzo kam kula washkula mpka bx tunagombea mabaki hahahahhah msigombn jmn

    ReplyDelete

Top Post Ad