DIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MTANDAO WA NIGERIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya kuwa mzazi’ kwenye mahojiano aliyofanya na mtandao maarufu wa Nigeria uitwao Lobatan Africa baada ya kwenda huko wiki kadhaa zilizopita alikoshirikishwa pia na mastaa wa huko wakiwemo Waje na Dr Sid.

Kwenye mahojiano hayo, mtandao huo ulimuuliza: What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father (umejifunza nini kuhusu ubaba kwakuwa sasa wewe ni baba)

Diamond alijibu: Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha!! (Kuwa baba ni kitu kikubwa, kinavutia sana. Unajifunza mengi kuhusu watoto wako na vitu wanavyopenda. Kwa mfano ‘mwanangu’ anapenda katuni hii yenye wimbo unaogusa, nadhani Ben 10!

Kumbe Diamond ana mtoto tena mkubwa anayeweza kuangalia na kuelewa katuni? Swali ni kwanini hajawahi kusikika akisema ana mtoto? Hata hivyo September mwaka jana, moja ya magazeti ya udaku ya kampuni ya Global Publisher, yaliandika habari ya kuibuka kwa msichana aitwaye Sasha Juma aliyedai kuwa amezaa na Diamond.

Sasha akiwa na mtoto anayedai ni wa Diamond
Msichana huyo alidai kuwa likutana na Diamond Mlimani City jijini Dar es Salaam na akampenda kwakuwa anafanana na Wema Sepetu (kipindi hicho walikuwa wameachana. Gazeti hili lilisema wawili hao hawakuchukua muda na wakaanza uhusiano uliowafanya wakutane kimwili na kupelekea msichana huyo kushika ujauzito.

Lilidai asha alimpa taarifa staa huyo ambaye alimuomba asitoe mimba kwakuwa atamsomesha msichana huyo aliyefukuzwa shuleni na pia kuahidi kumlea mtoto huyo.

“Ni kweli nimezaa na Diamond. Mtoto ana miezi mitatu sasa. Unajua yeye ndiye alinikatisha masomo na kusema kuwa ataniendeleza na atamlea mtoto hivyo alivyokaa kimya sikuona tena sababu ya kumfuatilia kwa vile kwetu napata kila kitu,” gazeti hilo lilimnukuu Sasha.

Lilisema lilipomtafuta Diamond kwa simu ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya, alijibu: Hahahaaa…mbona hiyo ishu ni kubwa sana kwangu! Ukweli huyo mwanamke simjui kabisa. Lete stori nyingine achana na hiyo.”

So kama Diamond ana mtoto, huenda aliamua kumkubali mtoto huyu na pengine ndiye mtoto huyu anayependa kuangalia katuni ya Ben 10!
Credits:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kua na mtoto ajabu. Mimi ninao watoto 7 haya niandikeni kwenye gazeti ya kwamba ninao watoto 7

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna jina mjini sasa wakikuandika weww magazeti yatadoda hayatauzika lol!

      Delete
    2. Kula tano mdau

      Delete
    3. We vp una kichaa nn??

      Delete
    4. Hahahahaja dah nimeeinjoy sana na hiyo cmnt

      Delete
    5. Una nin cha kuandikwa wew fundi randa!we kaa ulee hiyo timu yako ya voleybol watoto saba unaona sifa!ukitaka wakuandike na uwe maarufu haraka mjin nenda kanye Posta mpya mjin iwe mcha utakuwa maarufu daimond atasubir.

      Delete
  2. Ahahahaahahha we mdau apo juu nouma

    ReplyDelete
  3. admin ma rangi yako cheche si mazuri

    ReplyDelete
  4. ma rangi yako c mazuri

    ReplyDelete
  5. jamani mdau apo juu kwan we ni Dimond au maaalufu km dimond hahaha mpka useme unao 7

    ReplyDelete
  6. No Sasha akuzaa na diamond yule mtoto ni WA dada yake labda kama kazaa na Dem mwingine

    ReplyDelete
  7. Ww sio staa..! Ww ni mlala hoi hakuna anayetaka kukujua hata kama una watoto mia

    ReplyDelete
  8. Me napita tu humu

    ReplyDelete
  9. Domo pumbu gololi mtoto amtole wap

    ReplyDelete
  10. Mmeacha mada mmeanza kujibu comment za watu. Inatakuwa kuitolea hoja mada iliyopo na co kujibu comment za watu.

    ReplyDelete
  11. Mmeacha mada mmeanza kujibu comment za watu. Inatakuwa kuitolea hoja mada iliyopo na co kujibu comment za watu.

    ReplyDelete
  12. Duh. Kuna wakat comment zinanoga kuliko story yenyewe

    ReplyDelete
  13. domo mayai yke kayalia ngololo apate wapi mtoto sasha alikua anatafuta umaarufu kachemka. admin. rudisha. mfumo wa mwanzo. rangi. mbaya. sana

    ReplyDelete
  14. Mirangi yko adim ovyo

    ReplyDelete
  15. Inawezekana Domo alikuwa anatafuta ''kick'' angekuwa ameshasema zamani sana! na angemweka dogo kwenye post zake lazima.

    ReplyDelete
  16. kumbe unataka umaarufu wakutoe gazetini nenda kanye pale Askari monument mchana kweupe yaani dk 10 nyingi utapata umaarufu kuliko ulivyoufikiria

    ReplyDelete
  17. Dimond angekuwaa na mtoto tena angezaa na best yangu alitoa mimba kubwa na mtoto wao angekuwa anamika ata sita kwa sasa pengine wangeowana dimond aliumia sana sema demu jinga sijui alijua mond atakuwa maskini sikuzote dai alimpenda mnoo yule demu umalaya bwana kupenda hella tú kikowap sasa pole shost dai anakula goditime na mahela kibao ww unasugua gaga pengine yai lake ndo lilikuwa hilo maskin dai

    ReplyDelete
  18. Du au yule anaemtajaga alimpenda sana ivi akimuona sijui anaumia kiasi gani

    ReplyDelete
  19. Acheni umburura dai kicheche toka rong afu dem namjua namuonaga kama anahabari anashobo na ustar wa mtu ndo safi wangependwa wengine kilasiku magazet

    ReplyDelete

Top Post Ad