DODOMA UPDATES:BIDII ZA KUWATAFUTA VIONGOZI WA UKAWA ZIMEGONGA MWAMBA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

DODOMA UPDATES.
• Bidii za kuwatafuta viongozi wa UKAWA zimegonga mwamba ,ila wakati haya yakifanyika, wabunge wa UKAWA wakiongozwa,na Mwenyekiti Ibrahim Lipumba walikutana,African dreams na kuweka mikakati ya pamoja.
• Wabunge wa UKAWA wafikia maamuzi ya kuzunguka Nchi nzima na kueleza wananchi sababu za wao kutoka ndani ya Bunge la Katiba.
• Mkutano mkubwa wa uzinduzi utafanya Zanzibar kesho katika uwanja wa Kibanda maiti
• Mkutano wa uzinduzi wa UKAWA wa kuzunguka Tanzania nzima utahutubiwa na viongozi wote wa vyama vinavyounga ukawa, pia Mtikila, Makaidi na vyama vingine wamejiunga rasmi UKAWA.
• Wajumbe wa UKAWA wamelaani upotoshwaji unaofanywa huku uongozi Ukiwa kimya
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huku znz tayari jeshi la Polisi limepiga marufuku so kesho hakuna mkutano.

    ReplyDelete
  2. Wanatafuta kutandikwa hao we waache tu

    ReplyDelete
  3. HAWA HAWANA LOLOTE HAWA WATU HATARI KWELI MARA NGAPI WASHASABABISHA MAAFA WATU KUFA WAO WAMEFANYA NN KUBWA NI KUKUBALI KILE KITU KILOSABABISHA MAAFA HAWA HAWAIPENDI TANZANIA WANATAKA MADARAKA KWANINI WAO KAZI YAO USHAWISHI TU KIKITIFUKA HAWAPO IYO HAKI IPO KATIKA ROHO ZA WANANCHI TU WAKATI BUNGE LIPO LA KUTETEA HICHO WANACHOKITAKA WALA HAWAJAFUKUZWA KAZI YAO MIPASHO TU WANATAKA MADARAKA KUPITIA ROHO ZA WATU WAMESHINDWA KUKAA BUNGENI WAKAZUNGUMZA NA KUSIMAMIA HAKI ZA WANANCHI WANATAKA KUITIA NCHI KATIKA VURUGU HUKU WAO WASHALIPWA POSHO WANAFIKI NA WANAFURAHI KUONA ROHO ZA NDUGU ZETU ZINAPOTEA ILI WAPATE KUJENGA HOJA VIZURI WAKATI WANAWEZA KUSIMAMIA AU KUKUBALI BILA KUPOTEZA ROHO YA MTU SAFARI HII KAZITOENI ZENU HUKO HUKO DODOMA KAMA NA NYINYI MNA MACHUNGU YA NCHI HII TUSHACHOKA KUSHUHUDIA NDUGU ZETU WANAUWAWA NYINYI BADO MNAISHI NA KUSTAREHE NA FAMILIA ZENU WACHENI TAMAA ZA KISIASA KUWENI NA HURUMA NA WANANCHI NYINYI KILA SIKU MNASABABISHA MAUAJI INAKERA SANA

    ReplyDelete
  4. kweli watanzania tuzinduke maendeleo hayaji kwa njia ya vurugu

    ReplyDelete

Top Post Ad