HISA ZA MAN U ZAPANDA DAU BAADA YA MOYES KUTIMULIWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati kocha Sir Alex Ferguson alipostaafu kama meneja wa Manchester United mwezi wa tano mwaka jana, hisa za klabu hiyo kwenye soko la hisa la New York thamani yake ilishuka kutoka kuuzwa $18.44 mpaka $15.16 ndani ya kipindi cha mwezi mmoja tu!
Chini ya utawala wa David Moyes thamani yake iliendelea kushika kwa kasi, mpaka kufikia wiki ya 52 ya utawala wa Moyes thamani ya hisa hizo ilifikia  $14.26 kwa hisa moja.

Lakini tangu mwishoni mwa mwezi tano, wakati tetesi za kutimuliwa kwa David Moyes zilipoanza kusambaa thamani ya hisa hizo ikaanza kupanda, na jana tu baada ya kuthibitishwa kwa taarifa kwamba Moyes kibarua kimeota nyasi, thamani ya hisa za Man United ikapanda kwa kasi.
Mpaka kufikia jana jioni thamani ya hisa za MUFC ilikuwa ni $18.78 kwa hisa moja.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lakini tangu mwishoni mwa mwezi tano, wakati tetesi za kutimuliwa kwa David Moyes zilipoanza kusambaa thamani ya hisa hizo ikaanza kupanda, na jana tu baada ya kuthibitishwa kwa taarifa kwamba Moyes kibarua kimeota nyasi, thamani ya hisa za Man United ikapanda kwa kasi....... This is BULLSHIT!!!!

    ReplyDelete
  2. Mwishoni mwa mwezi wa tano??? WE CHIZI NN? Acha usenge!

    ReplyDelete

Top Post Ad