HIVI ZITTO KABWE NAE PIA ANASHIRIKI KATIKA HARAKATI ZA UKAWA?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wadau hivi Zitto Kabwe  pamoja na kuonekana ni mamluki na ukizingatia mmgogoro uliopo kati yake na CHADEMA ,Vipi hali yake kwenye hii movement ya UKAWA .. au wamemtenga na huku . ?? Kwa Anaye Jua Atujuze
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chadma bila zito haina nyta so ukawa kama kaw ypo n yey

    ReplyDelete
  2. Kabisa zito kitu kngine aisee!

    ReplyDelete
  3. ZitO issue nyengne aisee!

    ReplyDelete
  4. Ukawa sio Chadema. Data we we unaweza kujiunga na Ukawa

    ReplyDelete
  5. Zito ni jembe linalofanya kazi msimu wa mavuno

    ReplyDelete
  6. Zitto ni kibaraka wa ccm,akiwa UKAWA au asiwepo yote sawa tu, asikusumbue kichwa ,anatumikia waliomtuma.

    ReplyDelete

Top Post Ad