JADA PINKETT SMITH APOST PICHA FACEBOOK AKIWA MTUPU NA KUANDIKA UJUMBE MAALUM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mama watoto wa muigizaji maarufu, Will Smith ambaye aliwahi kushiriki katika kampeni maalum ya kupinga tabia za kuuza mwili mwaka 2012 amepost picha ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha akiwa mtu.

Jada Pink ambaye pia ni muigizaji mwenye mafanikio makubwa amepost picha ‘black ana white’ inayomuonesha akiwa amelala kitandani na kuandika ujumbe unahamasisha watu kutunza miili yao.

“The human body is beauty, art, creativity, expression, a vessel for the soul, our temple and a magnificent machine. We gotta take care of it. Love on your body today. It’s thee only body you got;”
PICHA HII HAPA

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kakomaaa sana hasa na yeye!

    ReplyDelete
  2. Jamani wanawake wengi wa marekani wamekomaa miili yao, waangalieni misuli ya mikono yao, kama wanaume, nahisi kuna madini fulani kwenye vyakula wanavyokula

    ReplyDelete
  3. Mazoezi ya viungo wanayofanya, hata ww ukifanya mazoez kwa muda lazma mwili utabadilika

    ReplyDelete
  4. Ukimwangalia Sawa Anaonekana Amekomaa, Ila N Mlain Kuzid Hao Mnaowaita Mababy....!

    ReplyDelete
  5. Huko sio kukomaa ni kuwa na afya "Physically Fit" hakuna kisukari au pressure hapo. Umenipata!

    ReplyDelete
  6. kwel kabixa wenyew co magoigoi kama wanawake wa kbongo wanafanya xana mazoez

    ReplyDelete
  7. duu kama mike tyson vile

    ReplyDelete

Top Post Ad