MKE/GIRL FRIEND WAKO ANAPOPIGWA MAKOFI NA JAMAA HUKU UKISHUHUDIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hebu fikiria, umetoka na mkeo kwa ajili ya mlo wa jioni. Mgahawa ni mzuri uko pembezoni mwa bahari. Upepo mwanana unazifurahisha nyoyo zenu. Mnakumbushana milima na mabonde mliyopitia. Mnacheka kwa furaha huku mkipongezana na kumshukuru Mungu kwa jinsi mnavyovumiliana na kupenda. 

Mnaongelea kuhusu mipango yenu kazini, na namna ya kuboresha miradi yenu binafsi. Mkiwa katikati ya maongezi, anatokea jamaa mmoja. Ghafla anaanza kumrapua vibao mkeo eti anaringa sana.

Humfahamu wala hujawahi kumuona. Siku hiyo ndio unamuonba kwa mara ya kwanza na hii ndio picha yake hali baada ya kumaliza kumpiga mkeo

Je utamfanya nini ili kumzuia asiendelee kumuumiza mkeo?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa sababu hatakua ni kichaa sitakua na la kumfanya, kama mtu ana akili timamu hawezi mpiga mtu bila sababu . Hata admn mina mashaka nawe kiakili, kuna vitu vingi vya maana na kuijenga jamii zaidi ya utoto ulioandika hapa, unajua kkoo kuna fujo?, mafuriko je? Vurugu za mbeya? Watoto wanaotupwa na kutelekezwa je? Acha kutumia nafasi uliyopata vibaya kaka/dada.

    ReplyDelete
  2. tulia ww hii ndo maana ikaitwa udaku....ka unataka habari hz mbona kuna blog nyingi tu.ngekuwa me lazima nipambane ns huyo jamaa coz anaweza kumuumiza vibaya.

    ReplyDelete
  3. Sasa Unataka Aandikaje Kuhusu Hayo Mafuriko? Kwanini Lazima Aandike Yeye?Si Uandike Nawewe Hz Habari Unazozitaka?Kwani Umezuiliwa Na Nani?

    ReplyDelete
  4. piga bastola tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad