MVUA BALAA...EMBU MSHAURI HUYU JAMAAA...MAANA NI KAMA HAJAAMINI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Balaaa la Mvua hilo Jamaa kaamka Asubuhi anakuta hali kama hiyo ahamini macho yake ameng'ang'ani kwenye gari siku nzima...Usiombe yakukute kama huyo jamaa alafu gari yenyewe una week moja ndio limefika kutoka japan na umelinunua kwa Mkopo wa Bank...Mweee Inaumajeeeeee!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hehehehe hii kali

    ReplyDelete
  2. Mi ningemshauri aweke samaki!!!

    ReplyDelete
  3. duuu hii kali,

    ReplyDelete
  4. duh unaweza kuwa chizi

    ReplyDelete
  5. Kama maji yaliingia wakati gari imezimwa,itakua na matatizo madogo madogo tu yanayorekebishwa kirahisi na mafundi garage.Lakini kupeleka garage aivute sio kuiwasha.Kama kuna tatizo kubwa kidogo,sana sana litakua kwenye mitambo ya electronic k.m.radio,dvd,

    ReplyDelete

Top Post Ad