SABABU YA MAREHEMU GURUMO KUPOTEZA JICHO LAKE MOJA HII HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Marehemu Gurumo kwa maisha yake yote alikuwa na ulemavu wa jicho moja lakini hakuna mwanamuziki wala mdau  au mwanahabari aliyekuwa anajua sababu ya madhila hayo ya mzee wetu mpendwa.

Gurumo akaileza Saluti5 mbele ya mdau mkubwa wa muziki Juma Mbizo sababu ya jicho lake kupotea.

Ilikuwa jambo la kusisimua sana. Alitupeleka hadi mbele ya nyumba yake na kukutana na mti wa mwembe na kisha akasema: “Leo nataka niwaambie jambo moja ambalo sijui kama yupo mtu anayelijua.

“Huu mti una historia kubwa kwangu. Hapa ndipo nilipopoteza jicho langu nikiwa na umri wa miezi mitatu.

“Mama yangu alinilaza kwenye kivuli cha mti huu kisha akaenda kuendelea na shughuli zake. Bahati mbaya likaanguka tawi na kutua kwenye jicho langu.

“Nilisimuliwa kuwa juhudi za hospitali hazikusaidia kitu, nikapoteza jicho langu,” alimaliza Gurumo na kisha akataka arekodiwe kwa njia ya video ili tujipatie kumbukumbu adimu.
Baadae tutakuwekea video ya Gurumo akisimulia namna alivyopoteza jicho lake.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. inaonekanamamayako alikutoandaguyajicho

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kuma asa ndo umeandika manini??

      Delete
  2. Wewe hapo juu jifunze kuandika, pumbavu kabisa.

    ReplyDelete
  3. chezea touch screen wewe. tuachie watoto wa mujin.

    ReplyDelete
  4. Stupidity is not a crime so your free to be..hah

    ReplyDelete
  5. anoy 1:44 kazoea nokia toch buhahahaahaaa,mpumbav kwel hiyo ndagu we ndo ulikua mganga?kenge maji we kama umekereka kunya tikiti.

    ReplyDelete

Top Post Ad