google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html WEMA AFUNGUKA " NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13" | UDAKU SPECIAL

WEMA AFUNGUKA " NAJUTA KUMLIPIA KAJALA MIL 13"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori:Na Shakoor Jongo

KAMA kuna kitu kinakukwaza ndani ya moyo wako, siku zote ukikaa nacho kitazidi kukuumiza lakini ukiamua kumtafuta mtu ambaye umeshibana naye na kumsimulia, moja kwa moja utakuwa umeutua mzigo!

Hicho ndicho amekifanya Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ kwa kuweka kweupe chanzo cha ugomvi wake na staa mwenzake, Kajala Masanja huku akijuta kumlipia mwanadada huyo zile Sh. milioni 13 za faini ili asiende jela miaka saba.

Akizungumza na Ijumaa katika exclusive interview Jumanne iliyopita, Wema ambaye pia ni staa mkubwa wa sinema za Kibongoalisema kuwa kuna mambo mazito ambayo yamesababisha yeye kuingia kwenye gogoro kubwa na Kajala.Wema au Beautiful Onyinye alisema kwamba mambo hayo ndiyo yamemsababishia maumivu ya moyo na kutokwa machozi kila wakati.

“Leo (anataja jina la mwandishi), ngoja nikuelezee kila kitu kinachohusiana na mimi na Kajala juu ya tofauti zetu.“Naamini baada ya kusimulia kisa na mkasa nitakuwa nimeutua huu mzigo mkubwa nilionao ndani ya moyo wangu.

“Baada ya hapo sitapenda tena kuzungumzia ishu inayonihusu mimi na Kajala,” alianza kufunguka Wema.

UZINDUZI WA KIGODORO
Katika maelezo yake, cha kwanza, Wema ni uzinduzi wa Filamu ya Kigodoro uliofanyika hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo yeye alisema kuwa alianza kuyaamini yale yaliyokuwa yakisemwa na watu kuhusiana na Kajala.

Wema alisema kabla ya tukio, akiwa saluni akijiandaa kwa ajili ya uzinduzi huo, ghafla Kajala alimharibia ‘mudi’. “Unajua ile Saluni ya (anataja jina la saluni) pale Kinondoni, ina sehemu mbili, juu na chini, sasa mimi nilikuwa juu na Aunt (Ezekiel) tunatengeneza nywele.

“Niliposhuka kwa ajili ya kuosha nywele, nikamuona Kajala, kwa kuwa nilikuwa sijaonana naye siku nyingi na tayari maneno yalishaanza kuwa mimi na Kajala tuna bifu, nikaona nioneshe kuwa sina bifu naye.
“Kweli nilipiga makelele ya furaha nilivyomuona K, nikawa nakimbia kwenda kumkumbatia, kiukweli niliishiwa nguvu baada ya kunikwepa na kusema nooo...Wema usinikumbatie na kuanza kutoa maneno ya dharau eti nitamchafua.

“Kusema kweli niliishiwa nguvu na kuona kama vile kizunguzungu huku aibu ikinijaa ghafla kwani pale kulikuwa na watu wengi, basi huwezi kuamini, nilishindwa kujizuia nikajikuta namtukana, sikumbakisha.
“Wakati namtukana alikuwa amekaa kwenye kiti cha kuoshwa, nikaenda nikamsukuma na kumfukuza pale kwenye kiti ili nikae nioshwe, huwezi amini hali ya hewa iliharibika ghafla kwani sikuwa na mudi tena,” alitiririka Wema.

SAFARI YA ARUSHA KATIKA SHOO YA MIRROW
Wema alisema kuwa baada ya kutofautiana pale saluni, hakuwa na kinyongo, safari ya Arusha ilipofika walikwenda kumsapoti msanii wao wa Bongo Fleva anayesimamiwa na Kampuni ya Endles Fame Production.

Wakiwa njiani, kwa mujibu wa Wema, yeye alikuwa hana fedha taslimu za kutosha zaidi ya kubeba kadi zake saba za ATM tofauti hivyo alimwambia Kajala ampe shilingi laki tatu kwa ajili ya watu kula na kunywa njiani pamoja na matumizi madogomadogo.

Alisema Kajala hakuwa na shilingi laki tatu akampa shilingi laki mbili na elfu themanini.
Aliendelea kutoa ya moyoni: “Tulipofika Arusha Kajala alimwita ndugu yake mmoja anayeitwa Doli kisha akamwambia achukue fedha alizokuwa nazo akamuwekee benki kwa sababu sikuwa na fedha na nilianza kukopa eti nilijishaua kuandaa shoo nikitegemea fedha zake.

“Wakati K anazungumza hivyo kulikuwa na watu watatu, mimi sina hili wala lile nikamuuliza mtu mmoja mbona siwaoni, wamekwenda wapi?
“Ndipo nikafungukiwa kuwa wananikimbia kisa nimemkopa K hizo laki mbili na elfu themanini, kiukweli iliniuma sana, Kanalalamikia laki mbili? Tena hakunipa bali alinikopesha?

“Nilijiuliza amesahau mimi nilitoa Sh. milioni 13 kumlipia faini asiende jela miaka saba? Nguo nikinunua nanunua sare, nywele sare, viatu sare, mapochi sare, ninachokula na kunywa mimi ndicho hichohicho. 
“Siku zote wakati akiwa gerezani nguo, viatu, hereni yaani kila kitu nilikuwa ni mimi, leo laki mbili na elfu themanini, niliyomuazima ananitangazia kwa watu (anataja jina la mwandishi)?

“Iliniuma sana basi palepale, nikaenda benki nikatoa Sh. milioni mbili, nikamlipa fedha zake, nikakaa kimya nikijifanya sijui chochote kinachoendelea kwani ningefanya chochote ningeharibu shoo na isingekuwa na maana yoyote ya sisi kwenda Arusha.”

WAREJEA DAR, MAANDALIZI YA FILAMU YAKE YAANZA
Wema alisema waliporejea Dar, alimwambia Kajala kuwa kuna mtu aliyekuwa amempa stori hivyo alimuomba wafanye filamu wawili.

Alisema kwamba Kajala alikubali na kusema kuwa atachangia Sh. milioni tano katika bajeti ya filamu hiyo.Baada ya kusikia hivyo, Wema alisema alifarijika, alipokwenda kumweleza ‘bebi’ wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, naye Diamond akasema atatoa Sh. milioni tano hivyo jumla itakuwa Sh. milioni kumi ikapita bajeti iliyokuwa imepangwa ya Sh.milioni nane.

Anaendelea: “Tukiwa katika maandalizi ya mwisho tuanze ku-shoot, K alinipigia simu akaniambia hawezi ku-shoot kwani alikuwa na safari ya kwenda China labda wa-shoot vipande vyake, nikamwambia basi aende akirudi tutatengeneza nyingine.

“Baada ya kuona hivyo ndipo nikamchukua Aunt tutengeneze filamu. K alipoona nimemchukua Aunt, akanipigia simu na kuanza kuongea shiti.“Nilijiuliza mbona mwenzangu amesahau ghafla wema wangu niliomtendea au kwa kuwa tangu aanze vijisafari vyake vya kwenda China anapata
GPL

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

39 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbona haijaisha vipi mko nusunusu

    ReplyDelete
  2. kajala kajala kajala utalipizwa mchana kweupeeeeee

    ReplyDelete
  3. We udaku story imeishia apo kwan mh

    ReplyDelete
  4. Gpl wapi achana nae huyo koroo....

    ReplyDelete
  5. Haya sasa mleteni na kajala tusikie upande wa pili.

    ReplyDelete
  6. wema dont worry..you will find good friends..and you will have big income ass well.xo xo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Good friends bongo??unauhakika gani km wema ni good friend kwawenzie kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.mjue hivyo kwambali umshabikie lakini ukimjua vzur hutaleta ushabiki hapa.ungejisikiaje wewe ningu nae tumbo moja huyo wema,umemualika kwako naakatembea namumewako??ndivyo alivyofanya kwa dada ake basi kilamtu nakasoro zake yeye pia anayake mazito tu so msipende kuwa mashabiki.nahatahuyo kajala nae anayake vilevile na ukicheza vbaya nawe utalipwa vbaya hukumu nijuu ya mungu.so kilamtu atapanda alichovuna

      Delete
  7. ata mimi niliwasaidia watu, lakini hao watu wakanitendea nabaya, sasa nimekoma kumsaidia mtu

    ReplyDelete
  8. tenda wema usingoje shukulani na wala ulichotoa usijute Mungu atakulipia kvingine si mpaka kajala akulipe

    ReplyDelete
  9. We wema vp culiamua kumsaidia iweje ujute ona kawaida tu mdada!

    ReplyDelete
  10. Kajala fala sana wema wote huo unasahau kwa vilaki viwili. Matako yako yana kisogo kokoliko wewe.

    ReplyDelete
  11. noooo..atafutwe na kajala na yeye aseme tuskie upande wa pili then from there twaeza judge!!tusihukumu coz hatukuwepo.
    OMBI
    Natafuta mchumba,
    Regards,
    BINTI

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ndio umeongea cha maana hapo juu nawakule juu kbsa huu ushabiki mandaz wao tupakule

      Delete
  12. Blackbeauty wa Atown25 April 2014 at 12:30

    Kila siku nasema jmn hakuna urafiki wa wanawake ni masnitch tuu, wanawake cio watu HakyaMungu bora uwe rafiki na mbwa kuliko mwanamke, coz yule umtegemeaye na kumsaidia mwisho wa siku ni adui kwako na kukusema vibaya ama kweli kikulacho ki nguon mwako, mimi rafiki yangu ni chupi yangu tuu aisee

    ReplyDelete
  13. Nana napenda sana unavomkubal wema, mara nyingi naona coment zako! Big up mkubwa! Songa mbele wema we2!

    ReplyDelete
  14. C ulitoa msaada.au ulikuwa mkopo?acha kulalamika.mkiishafilisika mnakumbuka hadi misaada mliyotoa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heheeeee nimecheka umeona ukiwa nahela unasema umetoa msaada huitaji kulipwa ,kafilisika sasa cheki mineno inavyomtoka ulishikiwa mtutu umsaidie achakutuektia movie zako zakinafiki hapa.unafikiri angekuwa nahela hata asingekumbuka hizo mil13 sahizi angeendelea kubana sauti tu

      Delete
  15. Kajala fala tena hana mana anajifanya mjanja mtu mwenyewe malaya tuu..l hate her. .my wema piga life yk ushajifunza mama

    ReplyDelete
  16. Duh! Kajala mbona hivyo, utakuja kujuta, utakosa wa kukusaidia tena ukipata matatizo, mdada jirekebishe

    ReplyDelete
  17. ukimsaidia mtu kwa moyo wa dhati jitahidi kusahau kwani unapokumbuka kitu chema ulichomfanyia mtu huyo basi ujue kwamba siku ikitokea mkakosana/kukwaruzana kdogo ni lazima utazungumzia wema uliomtendea kitu ambacho hakikubaliki mbele za Mungu

    ReplyDelete
  18. mtafuteni kajala pia aelezee, msitunge stori, kumbukeni kuna miiko/ maadili ya uhandishi#

    ReplyDelete
    Replies
    1. nani amtafute kajala kinuka mkojo..wasting of time and energy.....yeye ajue tu unafiki ni kifo.

      Delete
    2. Nawekinuka mavi nana nasikuogopi ntakujibu mpk kuchee silete zarau nasurayako km mbegu ya ubuyu

      Delete
  19. Wema kumsaidia mt si lazma akushukuru maisha yote,bdam tumeumbwa tofaut wapo wanaosaidiwa wakakumbuka wapo ambao hawakumbuk,unajina zur wema tenda wema uende zako usingoje shukran,istoshe wanawake hatupendani je unauhakika kajala alikusema hvyo?ok ndo maisha.

    ReplyDelete
  20. Mungu hapendi mlalamishi kama ulitoa kwa hiyari yako huna haja ya lulalamika na kujuta,WEMA WAKO,UKARIMU WAKO NA ROHO NZURI YAKO ndio ilio kupelekea kumsaidia Kajala,ukijutia msaada uliotoa ni dhambi,samehee na sahau maisha duniani tunapita hakuna atakae zikwa na malizake,ugomvi wenu na kajala mnaujua wenyewe na watatu mungu wenu.Wema samehe saba mara sabini na achana na hao waandishi wa habari kila kukicha magazetini hatakama ni kutafuta umaarufu basi ishatosha,fanya yako ya kukuingizia pesa kumbuka umri unaenda uzuri waleo sio utakao kuwa nao badae.Fanya yako binti jiweke akiba uzeeni kama utafika.

    ReplyDelete
  21. mdau hapo juu. big up

    ReplyDelete
  22. wema ajalalamika...ila kila mtu anahitaji rafiki ndo tatizo..alijua kajala atakuwa rafiki wa dhati na kumtetea ..wema amjui kajala ni chokoraa...

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nana Una low thinking capacity rfiki mama ako mzazi endelea kusubiria marafiki wa bongo uwe team yake ilauwe nahoja za akili sio zakitaahira

      Delete
  23. Worry not my dia siz

    ReplyDelete
  24. Na nyie waandishi sometime mnatuletea stori za chumba cha 4 hii ni sawa na stori ya KIBANGA AMPIGA MKOLONI au GULIO LA KATERERO, sasa maana yake nini hapo ilipooishia?? Haya tuulize maswali basi uone ufahamu wetu wa kiswahili?!!!

    ReplyDelete
  25. Kwani alie toa hizo fedha si ndie anayetoka na kajala kwa sasa. So ww wema ulikua western union tuu kufikisha mshiko. Mmeachana kampenda rafiki yako ,so you move on' Dang it'

    ReplyDelete
  26. huyo wema mxenge tu kumsaidia mtu ndo mpk hamtangaze au ndo sababu wa kumsaga kamtosa anaamua kumchafua mwenzie i hate all member of team wema coz nyie kaz yenu ni kushadadia mpaka upumbavu anao ufanya baada ya kumpa ushaur kwamba anapaswa kusahau na kubadilika sio kuishi kwa skendo

    ReplyDelete
  27. Mdau mbn matusi tena, joto hasira?

    ReplyDelete
  28. Ww. Unaona kumtangaza ila naamin Kwa kuongea sema km anavyosema ndio magis mzigo wake hakuna tena chembe ya kaka aliloacha Kwa moyo so kazi IPO Kwa huyo hoe mama mwenye mtoto tena na kaka Mkubwa legendary p...ndio mana alimmwaga Kwa kuepuka skendo km hizo na ndugu yetu nae alikpotea alipojua kapata ila its all good ...najua k watu wamekula sana mtungo kipindi chame kabla hajatua Kwa p.....mambo anayoyafanya hastahili km mama mwenye dota Mkubwa tu...anajiachia madisco nusu utupu machupi chup nje anachezewa matako na watoto wadogo kweli that's weird.......anywayz ndio maisha aliyochagua.....m not fun of any one but wengi wanaosaidiwa huishia same hivyo hivyo.....wema bora unavyothamin mbwa wako kuliko binadamu ......Mavi tuuuu......mavitu kweli....

    ReplyDelete
  29. wote nyinyi mnaoshabikia kajala na huyo uovu (wema) wajinga watupu.

    ReplyDelete

Top Post Ad