WEMA ALISTAHILI KUPATA ILE TUZO YA SEXIEST GIRL..HAPA PIA KAPATA KURA NYINGI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Jana Baada ya Baadhi ya watu kuhoji na kusema kuwa Wema alipendelewa Kupewa Tuzo ya Sexist Girl , Tuliamua Kuwauliza watu Upya na Kuwaruhusu wapige kura mara ingine tena ili tuprove lakini Tena kura nyingi zimemuendea Wema ..zaidi ya Asilikia 90 wamemchangua Wema ...Hivyo Basi Wema alistahili ...Kama kuna Anaebisha basi Nenda kwenye Post ya Jana uone watu walivyo tiririka kumchagua Wema Wema.

Baadhi ya Comments hizi Hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh sexiest mama au girl? jaman twende na ukweli na c kujikomba hivi kwanin wasitolewe mawig wawe natural ndo tuchague hivihivi tunadanganyana loh wema ni mzuri hata m namkubal kwa figure yupo xawa ila sura kwa lulu hafiki abadan mm c mnafik napasua ukweli alienuna shauri yake nani mnafiQ haswaaaaa.

    ReplyDelete
  2. Mdau kweli kbsa tukisema uzuri,awekwe wema,lulu,kajala,wolper wakate nywele wawe natural no make UPS aisee hawezi shinda wema manahanauzuri huo tena hata wolper atamshinda

    ReplyDelete
  3. na tunaendelea kupiga kura asietaka police akashtaki.WEMA SEPETUUUUU

    ReplyDelete
  4. We halo juu weka sura tukupigie kula mamayo wema team oyeeeeee

    ReplyDelete
  5. Asiejua team wema wagonjwa wa akili nani.maviii

    ReplyDelete
  6. Nyie mnacheza, hapo wema ata akiweka jiwe , awe natural kushinda anashinda tu watu na nyota zao bwana uzuri bongo

    ReplyDelete

Top Post Ad