Fahamu Sifa za Mwanamke wa Kuoa (Wife Material)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha.
Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri.
Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa.
Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtamkia kwamba anataka kumuoa.
  • 1. MWEYE MAPENZI YA KWELI
  • 2.MWENYE TABIA NZURI
  • 3. MWENYE UCHU NA MAENDELEO
  • 4. ASIYEPENDA MAKUU
  • 5. MVUMILIVU
Mwanamke ukiwa na sifa hizo tano hapo juu unauwakika wa 100% kuolewa.
Nawasilisha!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NIKWELI ULISHOENGEA HAPO WANAWAKE WENGI KUFIKILIA KWAMBA KUWA NA SULA MZURI NDO KILA KITU WANASAHAU TABIA NDO MSINGI MZURI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Natamani mpenzi wangu angeona comment yako na kujirekebisha

      Delete
  2. Umenena vema sana. Akina dada wa siku hiz wamejaa tamaa tu wala hawana hata chembe ya uvumilivu. Akikuomba kitu chochote ukamwambia huna kesho atadai humpend

    ReplyDelete
  3. Wapo wachache sana wa namna hiyo wengi wao wapenda pesa

    ReplyDelete
  4. Mke mwema anatoka kwa mungu sio vinginevyo

    ReplyDelete
  5. Utii iwe ndo sifa ya kwanza.

    ReplyDelete
  6. Mungu ndiye anaye toa mke mzuri hizo sifa still words brther

    ReplyDelete
  7. Siku hizi wanawake wanawaowa wanaume, ss sijui useme na sifa za 5 marioo, ili wajihakikishie ndoa.

    ReplyDelete
  8. Kweli kabisaaaaa

    ReplyDelete
  9. Ni kweli 100%

    ReplyDelete
  10. w.ume wengi wa sasa hawaangalii uzur kiivo, wanataka m.mke anaejishughulisha awataki mother house so kama wewe ni mzuri jipange kinadada

    ReplyDelete

Top Post Ad