Kimenuka Ndoa ya Tatu ya Dida Yavunjika Siku Chache Kabla ya Mwezi Mtukufu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KIMENUKA! Siku chache kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kuanza, ndoa ya Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ na mumewe anayepiga mzigo TV1, Ezden Jumanne inadaiwa kuvunjika, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuiripoti.

Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho kililinyaka tukio zima nyumbani kwa mtangazaji huyo Mwananyamala-Manjunju, Dar, ishu hiyo ilijiri wiki iliyopita usiku ambapo majirani walimsikia Dida akilia lakini wakashindwa kutoa msaada kutokana na geti kufungwa.

“Tuligonga sana mlango lakini hakuna chochote ila baada ya muda tulimuona mume wa Dida akitoka nje na begi kisha akaingia kwenye Bajaj  na kuondoka, tukagundua walikuwa kwenye ugomvi,” kilisema chanzo hicho.

TATIZO NI NINI?

Chanzo kingine makini kimepenyeza madai kuwa ugomvi wa wawili hao uliibuka mara baada ya Ezden kuhoji juu ya mapato ya mkewe.
“Jamaa alikuwa anahoji mshahara na fedha ambazo mkewe anazipata katika shughuli za u-MC, alihoji pia kuhusu mwanaye kusoma Shule ya Saint Kayumba (hali ya chini) ndipo mtiti ulipoanzia,” kilisema chanzo hicho.

EZDEN AENDEWA HEWANI

Baada ya kunyetishiwa ishu nzima, mwanahabari wetu, alimtafuta Ezden kwa njia ya simu na kumsomea madai hayo ambapo hakuwa tayari kufafanua zaidi, alijibu kwa kifupi:
“Elewa tu kwamba tupo kwenye matatizo na mke wangu ila kwa sasa siko tayari kulizungumzia.”


DIDA ANASEMAJE?

Kama ilivyo ada ili kupata uzani wa habari, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Dida, alipopatikana, alifunguka:
“Mimi na mume wangu huwa hatuna mipaka katika simu zetu, kila mtu yuko huru kuchezea simu ya mwenziye. Siku ya tukio jamaa (Ezden) kabla hajaenda kuoga alitengeneza namba za siri (pasword) sasa nilivyotaka kucheza gemu nikamfuata bafuni na kumuuliza mbona simu imefungwa, nikamuomba anifungulie, huwezi amini akaanza kunitukana, nikajiuliza ni simu tu au kuna mengine!”

KIPIGO KINAENDELEA

Akiendelea kusimulia, Dida alisema ghafla, Ezden alichukua mkanda na kuanza kumpiga.
“Nilishangaa sana, nikajiuliza kosa langu ni nini? Alinipiga hadi akanipasua sehemu ya kichwa, sikuamini kama Ezden anaweza kunifanya vile au kama alinichoka angeniambia wakati yeye ndiye mkosaji,” alisema Dida.

EZDEN ATIMKA

Chanzo kilidai kuwa, baada ya Ezden kuona amemuumiza mkewe, alikusanya nguo zake na kukimbia kwa usafiri wa Bajaj kwani Dida alificha funguo zote za magari yake.
“Alijua Dida atakwenda polisi hivyo akaona bora atimke zake,”  kilisema chanzo.

DIDA ATAKA TALAKA

Katika kuonyesha kuwa amechukizwa na tukio hilo la kupigwa ambalo amedai limekuwa likitokea mara kwa mara pamoja na kukosa imani naye katika masuala ya kuchepuka, Dida amesema kwa kuwa alishindwa kumuomba msamaha siku ileile ya tukio, anachotaka kutoka kwake ni talaka tu.

TUJIKUMBUSHE

Tukio la kuvunjika kwa ndoa hiyo iliyofungwa mwaka jana (siku tano kabla ya Mwezi wa Ramadhani kuanza) likikamilika kwa talaka, Dida atakuwa ametimiza idadi ya ndoa tatu kuvunjika.
Awali aliolewa na Mohamed Mchopanga ‘Mchops’ kisha Gervas Mbwiga ‘G’ na wote walimmwaga kwa talaka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

47 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuishi na mume kazi.........mume ataka malezi........

    ReplyDelete
    Replies
    1. Malezi gani apewe jamani zaidi ya Malezi Dida aliyekuwa akimwonyesha ya mapenzi ya dhati? Huyu Ezden analake tu ni wale maskini wakipata mitako yaanza kulia bwata hata kung'ata mkono unaomuweka mjini. Mpuuzi sana huyo kaka hakuna cha Malezi wala nini, ana lake jambo, ameshajiona zaidi sasa anataka kuwika, hayabebeki haya majianaume ya tz

      Delete
    2. Malezi gani apewe jamani zaidi ya Malezi Dida aliyekuwa akimwonyesha ya mapenzi ya dhati? Huyu Ezden analake tu ni wale maskini wakipata mitako yaanza kulia bwata hata kung'ata mkono unaomuweka mjini. Mpuuzi sana huyo kaka hakuna cha Malezi wala nini, ana lake jambo, ameshajiona zaidi sasa anataka kuwika, hayabebeki haya majianaume ya tz

      Delete
    3. dida anatakiwa kuchunguzwa kwa makini msimtetee hata kidogo, ni kweli mume anataka malezi na kufosiwa, kucomandiwa, unaweza kuona dida anampenda mume wake kwa nje, lkn kwa ndani ukute anamapungufu makubwa sana, wanaume hawapendi kucomandiwa, na kuchungwa kama mbuzi na kupikiwa, kila siku kula hoteli wakati mwingine mwanaume anataka ale chakula cha mkewe nyumbani. but dida haect kama mke, na mashauzi dida yamemzidi sana anakera na pia mambo yenu ya home msilete kwenye media, nimeamini ukiona mwenzio kanyolewa wewe tia maji, ni juzi tu kawaka picha ya flora kahamisha vyombo vyote leo kwake tusipende kushadadia vya wenzetu wakati sisi hatujui hatma yetu iko wapi

      Delete
    4. na mke anahitaji kipigo siyo? we si haba ulizaliwa mkundundi mwa baba yako shenzy type

      Delete
  2. kazoea kutombwa nae bwana aende zake malaya huyu kila msanii wa kiume akimshirikisha nyimbo lazima amtombe div malaya2

    ReplyDelete
  3. Kwajima aje asuluhishe

    ReplyDelete
  4. Inatia uchungu, ndoa hazidumu halafu lawama zinaelekezwa kwa mwanamke yaani hii ni mbaya sana

    ReplyDelete
  5. Wameona kwa Mapendo makubwa, baba kapata PROMO LA NGUVU, kavishwa, kalishwa, kapendeza aletewa vitu vya majuu ili naye aonekane, Mama anafanya yote hayo kwa mapenzi ya dhati, sasa baada ya kuanza kughara ndio unaona hafai, unampigia mmkeo na mkanda, yaani hamkuweza kuyazungumza kwa mapenzi na kama umechukia yeye kukuuliza kuhusu password so uyaongee kwa upendo! Yaani mimi hii migumegume iliyowashinda mitume wacha tu tusagane mpaka kieleweke. Mpuuzi sana huyu Ezden milips kama imeng'atwa na manyigu mxxxchww!

    ReplyDelete
  6. Wameona kwa Mapendo makubwa, baba kapata PROMO LA NGUVU, kavishwa, kalishwa, kapendeza aletewa vitu vya majuu ili naye aonekane, Mama anafanya yote hayo kwa mapenzi ya dhati, sasa baada ya kuanza kughara ndio unaona hafai, unampigia mmkeo na mkanda, yaani hamkuweza kuyazungumza kwa mapenzi na kama umechukia yeye kukuuliza kuhusu password so uyaongee kwa upendo! Yaani mimi hii migumegume iliyowashinda mitume wacha tu tusagane mpaka kieleweke. Mpuuzi sana huyu Ezden milips kama imeng'atwa na manyigu mxxxchww!

    ReplyDelete
  7. kuma la mamaaako mdau hapo juu kusagana kawaida yenu sio kwa sababu unatendwa na wanauma kuma weee dem hapo juuu tena inawezekana wewe unasagwa sana malaya wee. unajiuza

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mbwa mweusi nani anakwambia sasa hivi wanawake tuna shida na mboo mbooo ni za masikin tuu na wanawake ambao hawana mwelekeo..kusagana raha sana hakuna stress za kipumbavu km nyinyi mambwaa koko..dida fanya yako mama hao wanaume majanga..mwanamke mjanaja sasa hafuati mboo kama anapesa zake akishazaa bas mboo tupa kulee hakuna mana acha watu wasagane bwana unakalia kutukana na kuwazuia huwez mana wanaume majanga matatizo matatizo...

      Delete
  8. Kuma la mama yako na wewe mdau mharo hapo juu hv huna tusi jipya we mbuluz, gumegume hata hambebeki. Kusanaga kwa sana ndio mpango mzima, hayo matusi yako level la chekechea leta mapya mbolo kibamia wee mxxchww! Lione kwanza mipovu inatoka mpaka mkunduni, midume uchwara utayajua tu kutokana kwenye mtandao mitusi iliyopitwa na wakati fisi koko wewe

    ReplyDelete
  9. Tutafanyaje wacha tuendelee kuhesabu 1........2........3.........wadau inafata namba ngap hap?????????ha ha ha ha ha wap dida wa enzden, mi kuchoka



    ReplyDelete
  10. Guruwe pori hilo, ataliweza? Kisiki cha mpingo hakikatwi na panga, shurti uwe na shoka.

    ReplyDelete
  11. Mbolo kibamia mbona na nyie mikuma masinia.mchangiaj9:20.na div analokubw jamaa kachoka, unadhani alikuwa anaridhika.alikuwa anavumilia tuuuu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. imekuuma siyo eeeeh, mlaumu baba yako mwenye kijiti cha toothpick lolest.....inama ukafilimbwe na wazazi wako labda kitakua hicho kitoy chako motherfucker mkubwa

      Delete
  12. Pole didah hasira hasara kaa chini tafakari kabla ya kuamua ezden ni mumeo wa halali jaribu kufanya riseach utagundua maana hiyo sio sababu na ww ndio mwamuzi maana mlipatana ww na yy lakini usipende kuyaanika mambo mitandaoni huoni mumewe alipoulizwa hakupenda kujieleza sn kwa nguvu za mungu mtamaliza tofauti zenu.1111

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona na huyu Ezden asishauriwe kukaa chini na kutafakari yaani mnaboa kweli na ushauri wa upande mmoja. Mijanaume hambebeki period hakuna kukaa na kutafakari, kutafakari nini? Si ameamua mwenyewe kuchepuka! Eti kaa utafakari my foot...Dida onto the NEXT ONE! ts time jaribu mzungi hawa migumegume yetu yameshindikana na mitume sisi tuyawezee wapi mpenzi??

      Delete
    2. mzungu atampata wapi mfupi ka nyundo na mikorogo kama zeruzeru mwili wote ka zeruzeru hata pakushika hamna

      Delete
  13. kuma la mamaaaako kila ukihemaaa mdau 9:20 kwanza wewe kuma yako yako bwawaaa la victoria. kuma ww siku zote unaambiwa anaekula kwa mikono miwili hawezi kushiba never! kama mm mboo yakungu bamia basi jua kwamba ww kuma yako bangili. malayaya ww.. au kwasababu unatombwa na wanaume 20 kila siku? kuma la mamaaayakoooo kila ukitombwa, kila ukihis kuma yako inanuka@ mchafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Foolish man, hizi ndizo aibu kina Mama /Wanawake wa shoka kama Dida anadeal nao. Hebu ona jinsi unavyotuka puvuuu kila kona ukitukana mituzi ya Bibi wa Bibi wa Babu...mmxxxchw! Mpuuzi sana. Tz tupo wanadada poa sana lakini hii migumegume yetu iliyoshindwa na mitume ndio inatudhalilisha, kwanza hekima hawana, integrity ndio hapa tafsiri yake hawaijui, Dida mpenz ulitokana nao waaaapi tuuuuuu???? Hebu uje huku tukutulize, kina Mama tunaojielewa, achana na hawa wapuuzi Mbolo bamia nenda rudi, hana lolote hana chochote, hafai mtini hata ardhini! Wasikuumize kichwa usagaji upo tunakusubiri, nahonga vizuri hadi SportHouse Range. Achana na vijanaume vikishapaka vaseline vikingara na visuti vya Uturuki basi vinahemea angani eti vimefika....hahahahahahahahahahahahahhahaha....kumbe vimewezeshwa na MWANAMKE!!! Dida wewe kiboko na una misimamo nakuadmire sana. Achana na hizo aibu za uswailini mpuuzi sana Ezden! Umempa promo halafu anapandisha kifua mpuuzi sana mxchwww! Tupa kule tupo bwana life z too too short kuwa na kupe za aina hiyo halaaa!

      Delete
    2. Foolish man, hizi ndizo aibu kina Mama /Wanawake wa shoka kama Dida anadeal nao. Hebu ona jinsi unavyotuka puvuuu kila kona ukitukana mituzi ya Bibi wa Bibi wa Babu...mmxxxchw! Mpuuzi sana. Tz tupo wanadada poa sana lakini hii migumegume yetu iliyoshindwa na mitume ndio inatudhalilisha, kwanza hekima hawana, integrity ndio hapa tafsiri yake hawaijui, Dida mpenz ulitokana nao waaaapi tuuuuuu???? Hebu uje huku tukutulize, kina Mama tunaojielewa, achana na hawa wapuuzi Mbolo bamia nenda rudi, hana lolote hana chochote, hafai mtini hata ardhini! Wasikuumize kichwa usagaji upo tunakusubiri, nahonga vizuri hadi SportHouse Range. Achana na vijanaume vikishapaka vaseline vikingara na visuti vya Uturuki basi vinahemea angani eti vimefika....hahahahahahahahahahahahahhahaha....kumbe vimewezeshwa na MWANAMKE!!! Dida wewe kiboko na una misimamo nakuadmire sana. Achana na hizo aibu za uswailini mpuuzi sana Ezden! Umempa promo halafu anapandisha kifua mpuuzi sana mxchwww! Tupa kule tupo bwana life z too too short kuwa na kupe za aina hiyo halaaa!

      Delete
  14. kuma la la mamaaako mdau hapo juu jiangalie kuma yako ilivyo na haruf mbaya haraf mchafu xna wew dem wa hapo juu.. kuma kama mdomo wa god zilla wa malekan.. mkundu kama mdomo wa piridheter. kuma la mamaakoo kila ukienda saloon.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ooooops Dida mibinadamu ya aina hii ndo tunadeal nao mabinti/wadada wa UKWEEEE wa kiTZ! hata tusi ni la zama la Bibi wa babu yake, unategemea nini Dida Mpenzi??? Dunia imesongambele badala ya kukubali kuwa Mke nae ana haki ya kutengeneza pesa yanabaki kutokana kama hili LISENGE MKUNDU KUNUKA hapa juu! Yaani mpenzi wangu Dida kusuguana kumebaki, mimi ntakupa uaminifu na freedom ya kila kitu achana na hizi aibu za machinjioni kama hili limdau la hapa, hata dollar 5000 kwake lazima umpatie calculation ya matumizi. Kaka zetu wa TZ maisha ya Bibi wa Babu zetu umepitwa na wakati ukimpnda Mume aliyekuzidi umri na pesa au ukimpenda Mke aliyekuzi Umri au ni rika moja japo akili imekuzidi ni kawaida, sio ili umkomoe unaanza kuchepuka! Hamna confidence nenda rudi, si lolote si chochote na mitusi yenu tumeizoea ni ile ile na miaka ya 47! Wee paka shume dume lisilowika unikome kama ziwa la mama yako wa kambo mbwa wewe....Bastard!!

      Delete
    2. joto hasira vibamia wamejaa humu ndani KINYAAAAAAA MTAISHIA KUJISHUSHA MNAZI MASAA SITA GOLI ZIROOOOO

      Delete
  15. Mmmmhhhj ngachoka jmn mjini kutamu

    ReplyDelete
  16. Sihamin km ile move ya kihind mwisho wake nso huu mbn imeisha kubaya ila ezdeen sikio la kufa halisikii dawa dida ni gume gume na wew kwa kupenda starehe ukakubali kuolewa maan hukuoa eti leo ndo unatambua ulikosea kuenda kuishi kwa mwanamke aaaahhh hv ezdeen dida wamemshindwa manyakanga ndo utamuweza wew dida yy ndo mume mume ndo mke dida pesa yake na matumiz yake tofauti ulikua unastarehe tu hujui wanaume wenzio walikua wanawezesha aaahhh ss akili ikukae sawa na hata mkirudiana uke na akili yako dida km maimartha ila tu mwenzio this time kapata mume mshebz kauzu zaid ya dagaa duda bila kipigo aendi nunda yule na mdomo ss km kachanjiwa mxiiiiuuuu dida tulia ss hiyo kuma itaota sugu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duuuuuhhh mdau hapo juu umeuwa khaaa ezdeen kumbe alikua maliyooooo haya ss nenda kwa joketi akakutenze maan hali naona sio mara hii naona yebo yebo pale ktk mahojiano mmmhhh wanaume wass hv mnamambo ndo maisha mliojichagulia dida atombeshe wew usukume tu ndinga haya ss kimenuka umefukuzwa na begi uliambiwaga huyo dida mamaaako huyo humuwezi watot wa ss hv mlivyona laan mnabeba mpk mm zenu maan wew na dida km alikua anakubemenda tu ss ndo utulize kengele zako umjini kazi hivyo km jn ushapata ss rudi kwa mkeo wa kwanza mkalee mtot wenu dida mwache ahangaike na magubegube na ukapime kwanza maan dida nae mmmmhhh anaigawa km pipi chezea hela china huko anauza km bidhaa halali kwa malipo ya bidhaa

      Delete
    2. umeona ee, eti wanasema alikuwa anamtunza, kutunza wapi dida si mwanamke wa kuoa kila starehe yake hata kupika kwake ni shida, hotel hotel na yeye atamuhendo mume sas ngapi kila siku kula hotel

      Delete
  17. M pumbavuu tuu huyo Ezden alikwenda kwa dida ili kupata maisha bora, mwanaume gani wewe ulishwe uvishwe, usomeshewe mtoto , ununuliwe gari bado tuu hutoshekii, lol..yaan hawa serengeti boys wana matatizo sana tena saaanaa!!!! Hako ka ezden wakati kanakaa sinza kwenye chumba cha rafiki yake ambaye alipanga sinza, choo cha uwani uswaaaaz, alikuwa amechokaaa mifupa njee! !! Leo hii dida kamlea kampa kiki amepata kazi sasa atajifanya mjanja, huu si ushenzi jamaniii mtu gani uso na fadhila? Hivi bila Dida sisi tulikuwa tunamjua Ezden? Ni mbwaaa kabisaaa tena mshenz huyu anafaa tummwagie tindikalii. .wewe ngoja tujipangee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau samahani Naomba kuuliza kale kabinti Ni ka Dida au Edzen?kwani Dida hajazaaa?

      Delete
    2. Dida ana Samira na Ezden ana wakiume na ni karibia rika moja japo wa Ezden mdogo zaidi

      Delete
  18. Pole sana kwa mitihani Dida! Watanzania kwa kukandamiza wanaongoza. Kwa hiyo mlitaka Dida afanyeje? Avumilie mateso ama!!? Ndoa ya 1..2..3 hata ya kumi kwani cha ajabu ni nini! Dida usikubali kuteswa na mwanaume kisa watu watasema ni ndoa ya tatu...fanya kinacho kufurahisha wewe kama wewe. Pole kwa mtihani my dear

    ReplyDelete
  19. Hata ndoa 8 poa tuu, mm naona bora aaa ulivyommwaga huyo Ezden , tumechoka kuona wanaume wanalelewa kila cku haya sasa rudi sinza kichochoroni kwa rafiki yako aendelee kukulea au hamia kwa jokate sasa!!! Nyooo uso haya weee mario oooh rudi kwenu zaireeee ukaendekeze umariooo

    ReplyDelete
  20. mnakazi xana nyie wadada mnauza kuma. kuma zimetanuka kama mashimo mnaanza kulalamika. mtatombwa na mbwa..haha haha haha..tatizo mnajipitisha sana kwa wanaume. na wanawageuza kama samaki hahahahahaha

    ReplyDelete
  21. Kwani huyo dida ana hela gani,kwa hiyo umnyanyase mume kisa hela,ezden anajielewa kaona hakuna ndoa hapo,unatakiwa umuheshimu mume,hata kama hana hela,maisha yanabadilika,sasa huyo bi hindu amfundishi ,sasa akatafute serengeti mwingine,hongera ezden maamuzi ya busara,heshima kwanza mengine baadaye,talaka tatu,aende mbele,

    ReplyDelete
  22. pole sana dada dida ucjal hiyo ni mitihani tu katika ndoa nina imani mtamaliza tofauti zenu na mtaendelea kudumu kwenye mapenzi yenu,kaeni chini muyajadili matatizo yenu

    ReplyDelete
  23. Wanaume wa kimatumbi hata kwa mbeleko za chuma HAWABEBEKI!!! period.

    ReplyDelete
  24. mmmmmmmmmmmhhh tujiulize kwahiyo kote anakoachika tatizo wanaume?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tatizo sio wanaume kote anakoachika....tatizo NI TABIA YA WANAUME WA KIMATUMBI, wanaona wanahaki ya kuchepuka na wakikutana na Mwanamke wa Ukwee kama Dida asiyotaka upuuzi huo wanaanza kumchafua eti Malaya, eti amwambie vipato vyake n.k. huku yeye anataka kutembeza muhogo nje akirudi home bado anataka akute chakula cha moto na mke mwema kamsubiri bila kuulizwa alikuwa wapi, wapuuzi sana sampuli hii ya ezden

      Delete
    2. Tatizo sio wanaume kote anakoachika....tatizo NI TABIA YA WANAUME WA KIMATUMBI, wanaona wanahaki ya kuchepuka na wakikutana na Mwanamke wa Ukwee kama Dida asiyotaka upuuzi huo wanaanza kumchafua eti Malaya, eti amwambie vipato vyake n.k. huku yeye anataka kutembeza muhogo nje akirudi home bado anataka akute chakula cha moto na mke mwema kamsubiri bila kuulizwa alikuwa wapi, wapuuzi sana sampuli hii ya ezden

      Delete
    3. hata hivyo mi nilishama edzen bado ni kijana sana dida anavamia tatizo lake, kaona ndoa dili anajipa jina baya atulie tu

      Delete
    4. Dida achana na mmasai ulomtoa magaga ulijihimu kutembea kwa miguu gari umpe yeye ulivyo mpenda lakini umebainishiwa kuwa hastahili kulelewa jibwa koko

      Delete
  25. Mmmmmmh majanga

    ReplyDelete
  26. mbona comments nyingi za Dida mwenyewe looool!aibu sana Dida na pia poleeeee .punguza umjini mwingi mwanamume ataka kuengwa engwa shost

    ReplyDelete
  27. Natafuta wakunisaga ht mie hawa wanaume wamenichosha nahitaji faraja sasa nani yuko tayari?

    ReplyDelete

Top Post Ad