Kwa Mara ya Kwanza Baada ya Muda Mrefu Jack Wolper Anaswa Live Live Ndani ya Malavidavi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: shakoor jongo
KABANG! Baada ya kutoonekana katika pozi za kimahaba kwa muda mrefu, kwa mara ya kwanza, staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ‘Gambe’ amenaswa ‘live’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu, Risasi Jumamosi limesheheni.

Kwa muda mrefu Wolper amekuwa makini na picha zake za kimahaba tangu alipokuwa akitoka kimapenzi na mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Abdallah Mtoro ‘Dallas’.

CHANZO CHAMWAGA MTONYO
Awali, chanzo makini kilipenyeza habari kuwa kuna mawasiliano yamenaswa ‘kimafia’ ambayo yalitoka kwa Wolper kwenda kwa rafiki yake yakionesha anabanjuka na mwanaume huyo wa mtu aliyejulikana kwa jina moja la Gee.

YADAIWA NI MUME WA SHOSTI YAKE
Chanzo hicho kilikwenda mbali zaidi kwa kudai kwamba licha ya kuwa ni mume wa mtu, mwanaume huyo ni bwana wa rafiki yake kutokana na mawasiliano hayo yalivyosomeka.

“Mashabiki kila siku huwa wanamtetea Wolper na skendo zake, sasa nakutumia picha pamoja na ‘chating’ zake alizokuwa akichati na shoga yake kuhusiana na jamaa huyo,” kilisema chanzo hicho.

PICHA ZATUA RISASI JUMAMOSI
Baada ya kuzinyaka habari hizo, mwanahabari wa Risasi Jumamosi alimtafuta sosi huyo na kufanikiwa kuzitia kibindoni picha hizo kisha kazi ya kuwasaka wahusika ikaanza.

Wa kwanza kutafutwa alikuwa ni Gee ambaye kwa mujibu wa vyazo tofauti, ilidaiwa kuwa kwa sasa hayupo Bongo na hakuacha mawasiliano yoyote tangu alipoondoka.

WOLPER SASA!
Baada ya jitihada za kumsaka mwanaume huyo kugonga mwamba, paparazi wetu alimtwangia simu Wolper ambaye alieleza kila kitu:
Paparazi: Mambo vipi Wolper, nasikia makelele unaweza kusogea sehemu yenye utulivu kuna ishu nataka tuongee?

Wolper: Niko msibani na sasa hivi ndiyo zoezi la kuaga mwili, ngoja niingie kwenye gari nikupigie.
Baada ya dakika 45

Wolper: Haya niambie wangu niko sehemu nzuri.
Paparazi: Ni hivi, kuna habari imetufikia ikiambatanishwa na picha na baadhi ya chating inakuhusu wewe!
Wolper: Habari gani hiyo mbona unanitisha?

Paparazi: Kuna picha zinakuonesha wewe ukiwa katika pozi la kimalavidavi na jamaa anayedaiwa kuwa ni mume wa mtu. Ukiachana na picha hizo, zimeambatanishwa chating zinazoonesha ulikuwa ukichati na rafiki yako kumueleza kuwa mwanaume uliye naye ni mume wa mtu!

Wolper: Kiukweli kabisa bila ya hata kupepesa macho hizo picha ni zangu na zimepigwa kwa kutumia simu yangu tangu mwaka juzi lakini kuhusiana na hizo chating siyo zangu hata wewe unaweza kuwa shahidi kwani mara nyingi huwa tunachati na unajua vizuri ‘floo’ yangu katika kuandika SMS.
Paparazi: Ok, sawa, lakini turudi katika suala la picha, huyu ndiyo bwana’ko wa sasa?
Wolper: Hapana, huyo ni mshikaji wangu tu na tulipiga picha hizo tukiwa baa tena kipindi kile nahamia tu Mwananyamala (Dar) na sasa hivi hata sijui huyo mshikaji yuko wapi.

Paparazi: Ina maana huna mawasiliano naye kwa muda mrefu, mtu ambaye mlipiga naye picha kimahaba namna hii?

Wolper: Kweli kabisa, sina mawasiliano naye kitambo nikimaliza tu kuongea na wewe nitamtafuta na kumuuliza kulikoni picha hizo kuvuja.

Paparazi: Si ulisema umepiga katika simu yako wewe si ndiyo wa kujiuliza kwa nini picha zimevuja?
Wolper: Nilimzawadia simu kama rafiki yangu na picha zikiwa humohumo sikuzifuta.
Paparazi: Haya Wolper ngoja nikuache mi niendelee na majukumu.
Wolper: Poa wangu baadaye nitakucheki.

WOLPER HUYUHUYU
Hii ni mara ya pili kwa Wolper kutuhumiwa kukwapua bwana wa rafiki yake. Hivi karibuni mshiriki wa Miss Tanzania 2012, Husna Maulid alilalamika kuwa Wolper kamchukulia bwana’ke aliyemtaja kwa jina moja la Rajab, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Si Wolper pekee, ‘trendi’ inaonesha kuwa mastaa wengi wa kike hasa wa filamu wamefanya ishu ya kuporana wanaume kuwa sehemu ya utamaduni katika tasnia hiyo bila kujua wanajiondolea heshima mbele ya jamii.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kumekucha sasa

    ReplyDelete
  2. Baa siku hiz kuna vitanda hahah mweeh

    ReplyDelete
  3. hilo nalo waga ni kahaba tu.kila mwanaume hadumu nae hata mwaka..ally kiba..diamond..dallas..gee model...huyo mkaka na wengine kibao tusio wajua na wote hawakudumu nae hata mwaka mmoja..chefuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. hilo nalo waga ni kahaba tu.kila mwanaume hadumu nae hata mwaka..ally kiba..diamond..dallas..gee model...huyo mkaka na wengine kibao tusio wajua na wote hawakudumu nae hata mwaka mmoja..chefuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. HILI SAGAJI LINA MPYA GANI HALINA MANA WANAUME HAWE KAA KWAKE KAMWEE..AIBUUU

    ReplyDelete
  6. njaa ndo tatizo.yeye msagaji sasa wanaume wa nini?

    ReplyDelete
  7. MSAGAJI ASIE NA PESA UTAMTOMBA MTOTO WA MTU UMPATIE NINI KM SIO KUMFANYA AKWA MALAYA TUU NA KULETEANA MARADHI...MTATOMBWA WOTE..ETI ANAJIITA MSAGAJI MSAGAJI UNAKULA MBOO KILA SIKU NA HUNA KIPATO CHA KUTOSHA MAHITAJI YAKO.AENDE ZAKE HUKO HAKUNA MSAGAJI HAPO NI MALAYA TUU ANAJIFICHA KUSAGANA.

    ReplyDelete
  8. hahahahahaahahaaaaaaaa......unaniua mbavu we mtoto bha......

    ReplyDelete
  9. ahahhahaahaaaa dah wadu mnaposti hasa.kwamba msagaji asie na pesa atauza kuma asagane na wote watatombwa nimeipenda hiyo wolper unalo shogaa

    ReplyDelete

Top Post Ad