Ni Watanzania Wangapi Wamefungwa Brazil Mwaka Huu kwa ishu za Dawa za Kulevya? Vigogo Waliokamatwa Je?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

January 2014 balozi wa Tanzania nchini China aliongea kwenye exclusive interview na millardayo.com na kusema Watanzania wanaoshikiliwa kwenye magereza mbalimbali nchini humo hawazidi 200 lakini idadi yao ni zaidi ya 100 ambapo asilimia kubwa kilichowapeleka huko ni kesi za dawa za kulevya.
Ilipofika March 25 2014 katibu mkuu wa wizara ya mambo ya nje John Haule alitaja idadi ya Watanzania waliokamatwa kwa ishu ya dawa za kulevya China na nikamkariri akisema ‘Katika Magereza ya China mpaka February 2014, tumepewa taarifa na mamlaka za China kwamba wapo Magerezani Watanzania 177 ambapo 15 kati yao wamehukumiwa kunyongwa kutokana na biashara hiyo ya dawa lakini niseme tu wenzetu wa Serikali ya China wanatuthamini sana kama sisi tunavyowathamini’
Alimalizia kwa kusema ‘wenzetu wa China wanathamini zaidi uhusiano wetu na ndiyo maana hata wale wachache Watanzania waliohukumiwa kunyongwa hawajanyongwa mpaka leo na hatutegemei kama watanyongwa, yani sanasana watafungwa kifungo cha maisha gerezani’

Sasa taarifa iliyotoka June 25 2014 kutoka tume ya kudhibiti dawa za kulevya imesema wamekamata zaidi ya tani 2.3 za dawa za kulevya na vilevile vigogo 12 wa biashara hiyo wamekamatwa.
Kingine ni kwamba kwa mwaka huu wa 2014 pekee idadi ya Watanzania waliofungwa nchini Brazil kwa kesi za dawa za kulevya ni 113 ambapo taarifa hiyo haikufafanua zaidi kuhusu hukumu zao na mengine yanayoambatana.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yesterday, while I was at work, my sister stole my iPad and tested to see
    if it can survive a forty foot drop, just so she can be a youtube sensation. My iPad is
    now destroyed and she has 83 views. I know this is totally off topic but I had to share it
    with someone!

    Have a look at my blog post ... after effects optical flares plugin free Cs6

    ReplyDelete
  2. Excellent way of telling, and fastidious post to get facts about
    my presentation subject matter, which i am going to present in academy.


    Here is my blog post - cellan Reviews

    ReplyDelete

Top Post Ad