PICHA za Capt. Komba zenye Utata Zasambazwa Kwenye Mitandao ya Kijamii!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Picha zinazomwonyesha mh. Captain John Komba zenye mapozi tofauti na mabinti tofauti zimeanza kusambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hapa Tanzania. 

Kuna picha nyingine nyingi lakini kutokana na maadili hatuwezi kuziweka hadharani; hizi ni baadhi tu

UTETEZI WA KOMBA:
Kuhusiana na hizi picha 2 zilizoenea kwenye mitandao ya kijamii kuznia asubuhi ya leo, zikimuonyesha Mheshimiwa Mbunge huyo wa CCM Kapteni John Komba akiwa kwenye mahaba na Mwanadada mmoja anayeishi Kinondoni. 

Mbunge huyo amesema kwamba picha hizi zimetengenezwa na maadui wake wa kisiasa na kwamba yeye sio Kiongozi wa hovyo hovyo namna hiyo. 

Kapteni Komba amesema kwamba anawakaribisha wataalamu wa Picha na Mitandao kutihibitisha ukweli wa picha hizo zinazoonyesha Mwana-Dada akiwa na kipande cha khanga tu huku Mbunge huyo akiwa pembeni yake akionyesha kutokuwepo kabisa kwenye Mahaba yanayotakiwa kuwa yanaendelea baina yao. 

Mbunge huyo ameuliza zaidi iweje awe kwenye mapenzi kama picha zinavyo onyesha halafu awe na nguo zake zote huku msichana akiwa na khanga tu? 

Kapteni Komba amesema kwamba kama kweli Taifa hili limefikia hapa pa kuchafuana namna hii kisa mitizamo tofauti ya kisiasa ya namna ya kuongoza Taifa letu basi kama Taifa tumefikia pabaya sana. 

Mbunge huyo amemalizia kwa kusema kwamba wale wote wanaomuamini kama Kiongozi shupavu wa Taifa, wasikatishwe tamaa na wajinga wachache wenye mawazo ya kitumwa ambao wanadhani wanaweza kummaliza kisiasa kwa kumtengenezea picha chafu kama hizi picha 2 za leo!
Source:JF
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

47 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmh.. utalia kingoni komba.. ha ha

    ReplyDelete
  2. Yakutengeneza hiyo

    ReplyDelete
  3. duuuu! hatuwez jua labda tusubiri wanaozijua nyendo za vigogo wetu!!!

    ReplyDelete
  4. kula bata mzee mzma acha kucngzia utengenezwaj wa pcha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmmmmmmmmh wa jameni kz kwelkwl

      Delete
  5. Mgeni mgenii mgeniii mgeni huyooo ukimwii anausambaza jamani anausambazaaaa kombaa....hahahaha

    ReplyDelete
  6. Ndio zake huyo mh. Kwa nn yeye tu wakat wanasiasa wapo kibao. Nenda mstuni!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kila mwanasiasa akifanya uchafu akibanwa husingizia siasa.ona alivyo fanya ushenzi,Mh.Juma Kapuya na vicky Kamata,

      Delete
  7. huna lolote ndio wewe hasa wala sio photoshop hiyo utakoma kuambiwa tupige picha mpenzi hiyo ndio pay yake utakoma kulala na makahaba waso malezi

    ReplyDelete
  8. Wazee wa kibongo wanapenda maku balaa ngoja nikae na popcorn zangu nashushia na togwaa wacha movie iendelee penny kalazwa icu kisa domo

    ReplyDelete
  9. Mzinzi mkubwa!!

    ReplyDelete
  10. wapi lulu michael si ndo alikua demu wake toka enzi hizo

    ReplyDelete
    Replies
    1. heeeeeee!!!yani hivo alivyo ndo alikuwa anamchukua lulu miichael mweeee!! heee

      Delete
  11. Photoshop kabisa

    ReplyDelete
  12. Watu wabishi iyo Ni photoshot

    ReplyDelete
  13. atakoma kazidi kupenda ndogo ndogo

    ReplyDelete
  14. Hahahaha izo zimetengenezwa

    ReplyDelete
  15. hahahahahahahaha mgeni huyo balaa amekuja kuwatoa wazee mgeni huyoo ni nani

    ReplyDelete
  16. picha ni kweli ila komba anajitetea tu coz zipo nyingi zaidi mtaani akiwa na uyo binti .....ni live bila chenga...anazuga tu

    ReplyDelete
  17. lulu malaya haangalii cha sura wala uzee anaangalia pesa mtoto laana huyo lulu kafilwa sana na komba kamfumua marinda sana

    ReplyDelete
  18. anasambaza ukimwi huyo komba nina wasiwasi na lulu km hakumwachia ukimwi kufilana mchezooooo

    ReplyDelete
  19. nyie mnaosema komba anafila mmejuaje,mmefilwa na nyie kama ni ukimwi hata nyie mnao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unamtetea eeeh basi ndio unaambiwa hatakagi mbele kabisaaa ye ni nyuma tu.mgeni kwetu ameingiaaaaaa mgeni mgeniiii mgeni huyo mgeniiii naimba tu

      Delete
  20. Za kutengeneza hakuna kitu

    ReplyDelete
  21. aibu yako mzee hazijatengenezwa wala nini ni kweli na ndo uhalisia wa komba alivyo, ni malaya mbwa

    ReplyDelete
  22. Mnaosema k ni Maraya njie je????? Kwani akizuni mtachomwa Moto wote? Mwachen afanye yake wengin hapo mntaman muwe nyie haoooooo

    ReplyDelete
  23. Mgeni mgeniii *2 , mgeni huyuu balaaaa! Mwacheni ale uzeee

    ReplyDelete
  24. Huyu mzee ana nyege mshindo....kuma la mama yake.

    ReplyDelete
  25. komba izo pic ni zake hazijatengenezwa, nipo udom hawa wabunge malaya mbwa hasa juma nkamia naye ndo tuna picha zake za kumwaga

    ReplyDelete
  26. ukweli anao yeye ila km kweli aache maana awa wadada watamuaibisha mtu mzima na ni kiongozi so aache sipati pic kwa familia yake hasa wajukuu zake yan nu aibu sana uyu fataki kabisa shame of yeye

    ReplyDelete
  27. Anaesema wametengeneza atupe reason such as " kichwa kinaonekana kimepachikwa so mwili ni wamtu mwingine ...nakadhalika........ mkuu mwenyewe amekubali kuwa alipeleka juisi matunda na hela kwa mpiga kura wake mgonjwa

    ReplyDelete
  28. Aina hii ya watu ni balaa wakiwa ni tegemeo la Taifa.

    ReplyDelete
  29. kuna picha amepiga na vicky wakiwa kwenye vikao vyao mzee mkono wake kaweka kwenye mapaja ya vicky,sikupenda ile picha,jamani viongozi wetu kuweni na hofu ya mungu lol!!

    ReplyDelete
  30. Komba a.k.a fataki mwaka huu umepatikana huna ham hahahaaaaa. Unalo!? Kijasho kitakutoka. Na bado tunazo na zingine zitatoka very soon!

    ReplyDelete
  31. Haya viongozi wengi wa wabongo ngono nje nje, wanapenda kutombana tena na vitoto vidogo. S ajabu ndio maana hata maendeleo hatuna, wananchi tulio wengi masikini wa kutupwa, na huma za jamii, kam madawa, mahospital mashule vyote ziiiiii, ikiwa viongozi wenywe ndio kama hawa mapumbu nje nje

    ReplyDelete
  32. Ndio Viongozi wa Serikali Sekivu.Inafanya Mambo Sikivu.Wananchi muwe wasikivu

    ReplyDelete
  33. presha imepanda presha imeshuka

    ReplyDelete
  34. hawa wanaijita viongozi ndio wapotoshaji maadili sana katika jamii hiii , sasa kama kiongozi haya maadili gani? jamani, na serikari sikivu,

    ReplyDelete
  35. Zeeee kitombi sana tu hili sasa limekamatika, weee wache waendelee sio huyu pekee yake wapo wengi tu hii mifataki, tena yote inatokea huko mjengoni, Mizee baada ya kufanya kazi bali wamekaa kimasrahi zaidi. Na kuharibu jamii,

    ReplyDelete
  36. Mmh Mungu weeee wachape viboko watu hawa wanao rubuni watoto wa watu na kutembea nao loh

    ReplyDelete
  37. Huyu baba Mungu amwazibu

    ReplyDelete
  38. Mimi napita tu maana hz comment nimecheka sana haswa kibwagizo cha mgeni

    ReplyDelete
  39. Huyu mzee kamjengea nyumba lulu na anavitoto kibao. Anapenda sana kuwa anapetiwa na vimwana kila upande. Huko Songea ndo usisema. Hana lolote. Wazee wa chama hicho hiyo ndo kazi yao

    ReplyDelete
  40. Pole mzee komba kwa lililokukuta, njo upokee Yesu akusamehe na kukusafisha dhambi hiyo. Bila hilo, jehanamu inakusubiria

    ReplyDelete
  41. MIMI NI GRAPHIC DESIGNER...hii picha sio ya kutengeneza wala photoshop....angalia angle ya picha yenyewe angalia shadow na focal lengh.. kwa kifupi angalieni macho yao wote wameangalia same spot..wote wana flashlight ambapo ukiunganisha yote unapata asilimia 95% its a true picture

    ReplyDelete
  42. kwakweli haya mambo yana shangaza saana, kama nikweli mungu awalaani kwakua ndio wanao changui maadili kumomonyoka kwa kuchukua watoto wadogo, hiyo ni raana,

    ReplyDelete

Top Post Ad