Ali Kiba Aamka Kutoka Katika Usingizi Mzito ..Umemiss kazi za Ali Kiba?…Basi Hii inakuhusu.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 3 kuanzia leo tarehe 22/7. Je Unahisi Itakuwa Kali Kushinda zile alizotoa Diamond Siku kadhaa?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwandishi acha unafki bwana. 2ambie neno moja kwamba ally k anatoa nyimbo mpya" lakin mambo ya ku2ambia itakuwa bora kuliko ya diamond haihusiani kabisa. acheni uchonganishi! sisi mashabiki ndio 2tajua kama wimbo ni mdhuri ukishatoka. lakin mambo ya diamond hayahusiani.

    ReplyDelete
  2. Diamond ndo nani ali kiba atumii nguvu za giza bwana anatumia kipaji chake ushasikia alikiba ana mtia mama yake kila wiki??? Alikiba yupo juuu apana chezeya

    ReplyDelete
  3. Kiukweli nampenda Sana ally kiba na kazi zake Ni nzuri Sana, tulimmic sana. Ni ngumu kuringanisha kazi za kiba na mtu mwingine!

    ReplyDelete
  4. Ali kiba yupo juu Sana,

    ReplyDelete
  5. Ukojuukaka, achana na maneno ya watu.

    ReplyDelete
  6. wewe huyo daimond na mama yake unamshikiaga mguu mbona wabongo wapana hivi inamaana mtu hawezi kufanikiwa mpk uchawi wacheni hizo kila mtu na wakati wake bana

    ReplyDelete

Top Post Ad